Acerpower drivers

hilbajojo2009

Member
May 25, 2009
46
1
Wadau naomba msaada wa drivers za acer. I have installed windows xp 2006 kwenye computer yangu, acerpower. sasa drivers za audio, ethernet na video zina miss. naomba msaada tafadhali. Nimejaribu ku-download bila mafanikio.
 
Sehemu nzuri ya kupta driver ni kutembela website ya acer . . TAfuta sehemu ya support ama download. Kulingana na mashine model number yako ambayo hujasema then utapata drier zote

Kwa kukurahisia kazi fungua link hii http://www.acer.com/worldwide/support/download.htm

Then kulingana na sehemu ulipo chagua ( AFrica, Ulaya ,USA, Asia)

Baada ya hapo kama unataka drier za Laptop chagua Notebook kama za PC chagua Desktop.

Kama ni laptop chagua model yako ( mfano Extensa, Travelmate , etc)

MWisho chagua model itakulete amodel aina nyingi chagua iliyo yako ( mfano extensa 5600g)


Utapata msururu wa drivers zote unazohitaji

Kutegemea na hadrware zako angalia
Kama hadware za VIDEO ni za NIVIDIA chagua driver za video za NIVIDIA kama ni za ATI chagu driver

Good luck
 
Pia unaweza kudownload program inayo itwa ''driver scanner'' ambayo ina scan all drivers and update automatically. Hii program ni nzuri sana, inakufanyia kila kitu paka ku install. Kuipata unaweza kuinga www.torrentz.com alafu search 'driver scanner' alafu fuata maelekezo...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom