Acer travelmate b113m Bios

josephjul40

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
218
40
H
 

Attachments

  • IMG_20210712_063223_262.jpg
    IMG_20210712_063223_262.jpg
    61.5 KB · Views: 1
Hebu weka picha tuone, maana unaweza ukabadili startup logo na kuweka picha yoyote kwenye computer. Mumewahi kubadili windows?
Hiyo siyo start up logo, ni bios logo. Hata ukibadili windows ipo tu ila unaweza kui disable na siyo kuiondoa. Kuiondoa ni mpaka kufanya update ya bios na ambayo hizo bios zote za model hiyo zinagoma
 
Yenyewe yake ni v2.23S03. Latest iliyopo kwenye website yao ni v2.22 ambayo inakataa na zote ukirudi nyuma hadi ya mwanzo
Kuna kitu hakipo sawa mahala, pengine labda Alikuwa ni mfanyakazi wa Acer ama ni limited edition hio laptop. Unaweza badili startup logo ya bios pia.

Ume Jaribu kukagua vizuri model ya laptop? Kama kuchukua serial no ama kudownload tool yoyote website ya Acer itakayo detect model? Hii itasaidia pengine model inayonekana nje si sahihi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom