Accouting Packages

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari zenu ndg zangu.
Naulizia kwa anaefahamu chuo kifundishacho computerized Accounting na bei zake. Pls msaada wenu.
 
Nenda simba Telecom mjini pale utapata program zote za accounting Package sijui kama SAP the latest one wanafundisha mana in East Africa ni makampuni 3 tu wanatumia hiyo
 
MYOB Accounting ni nzuri sana kwa package nyingi zinaendana nayo na ni rahisi kutumia. kuhusu chuo jua kwanza acc.
 
habari zenu ndg zangu.
Naulizia kwa anaefahamu chuo kifundishacho computerized Accounting na bei zake. Pls msaada wenu.
Lady G kama uko Arusha mpigie mwenye namba hii utapata msaada wa unachohitaji 0754681133
 
Last edited by a moderator:
Nenda University computing centre(UDSM),nilisoma pale kipindi fulani,wako vizuri ada yao kipindi hicho ilikuwa kama laki tatu hivi kama sijakosea.
 
Nenda simba Telecom mjini pale utapata program zote za accounting Package sijui kama SAP the latest one wanafundisha mana in East Africa ni makampuni 3 tu wanatumia hiyo

Asante sana mkuu
 
duuh kweli iyo SAP inatumiwa na 3 companies in east africa ? I don't believe Kwa iyo shivacom group itakuwa ya nne basi, au inclusive in 3. Duu jamaa shivacom group yuko juu.
 
Back
Top Bottom