Account za michango ya ujenzi wa madarasa lakini risiti imeandika mapato ya Kijiji. Je, ni sawa?

Mar 7, 2017
11
13
Leo nimefutwa na mwenyekiti wa kitongoji na kutakiwa nilipe mchango wa shilingi 15000 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa, lakini rist aliyokuwa nayo imeandikwa mapato ya kijiji je siwa kumpa hiyo hela badala ya kunipa account no niende kulipia bank.

2017-10-26+21.12.15.jpg


msaada wenu jamani kabla sijapelekwa mahakamani kwa kukaidi agizo la mkuu.
 
Hiyo halmashauri itakuwa Ilala tu. Maana hapo hilo neno linajaa
 
unashauri iandikwe vipi?

Huo mchango si Mlikubaliana kwenye mkutano mkuu wa Kijiji kuwa Mchange kiwango hicho na mkaridhia kabisa kuhusu kuchangia sasa unalalamika nini?
 
huna akili au umeshikiwa akili ndio maana hujaelewa. mapato ya kijiji ni pamoja na michango, faini na ruzuku kutoka serikalni,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom