Issue ya kuhamisha wanyama kwenda Chato Malisa ali ipost na ilipata wachangiaji wengi sana na wengi walichukizwa mno na jambo hilo, waliandika comment za kuudhi kwa watawala, nadhani inaweza kuwa sababu, maana kuna mmoja alisema jiwe asogeze mipaka ya chato ifike ziwa victoria na apandishe hadhi ya ziwa kuwa bahari, wengi waliponda...