According to JF hapo vipi? Mpaka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

According to JF hapo vipi? Mpaka sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbweka, Oct 22, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kura za maoni naona ikulu pamenoga sasa


  Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) - 2,138 = 22.31%

  Willibrod Slaa (CHADEMA) - 6,565= 68.50%

  Ibrahim Lipumba (CUF) - 274 =2.86%

  Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) - 485= 5.06%

  Mutamwega Mugahywa (TLP) - 122 =1.27%
   
 2. K

  Kwanini Senior Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dennis Luambano alitoa takwimu kwamba kabla ya tarehe 22 Septemba mwaka huu JF ilichakachuliwa(watu wengi walijiunga kuliko wakati wowote ule katika historia yake na pia kuna kura 5,888 zilipigwa na wageni kabla ya mtindo kubadilishwa ilipoonekana kura za Kikwete zinapanda ghafla?Au wapenzi wa JK waliushtukia mchezo na wao wakacheza kama hao ghost faces 5,888.Imagine unatoa 5,888 hapo juu).JF mnanivunja mbavu na kunisikitisha.Yale yale.Sijua na hiki mtafuta.

  Only God knows.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa JF ulitakiwa kujibu tuhuma zile sio kuacha hivi hivi mtaacha mangapi unajua magazeti yanasomwa sana
   
Loading...