Accidental doctor: Tiba mbadala ya upungufu wa nguvu za kiume

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,687
8,600
Habari wana JF wenzangu,

Kuna hili tatizo la nguvu za kiume limeonekana kutusumbua sana sisi wanaume. Mi napenda nieleze tiba mbadala mbili tu ambazo zinaweza kumsaidia muhanga ambazo ni mazoezi na chakula.

Tukianza na mazoezi, wengi wetu huwa hatufanyi mazoezi na shughuri zetu za kila siku si nzito hivyo hupelekea mwili kuchoka mapema, kadili mwili unavyochoka mapema na uume ni sehemu ya mwili nayo huchoka mapema kusimama, hi hupelekea uume kusimama kwa sekunde 30 kisha kusinyaa.

Ili uume usimame imara unahitaji misuri imara ya nyuma ya mapaja na kiuno, kama hufanyi mazoezi ya kutosha misuri ya nyuma ya mapaja huchoka mapema na uume husinyaa na ukizidi kuilazimisha mishipa hii mwisho wake utasikia maumivu ya misuri ya nyuma ya mapaja na ikifikia hatua hiyo uume hausimami tena kwa siku hiyo, kiuno ni kama udongo ulioshikiria mmea, udongo ukiwa dhifu na mmea nao hua dhifu mwishowe hudondoka, kwa mtu asiefanya mazoezi kiuno chake huchoka mapema na eneo la kiuno likichoka uume nao huchoka, kwa hiyo ili uwe na uume imara fanya sana mazoezi ya kiuno na miguu.

Mazoezi ya kiuno moja wapo ni kulala chali kitandani kisha unakizungusha kiuno chako kwa dakika tano asubuhi na jioni ukimudu unaongeza dakika 10 nk, zoezi hili ni zuri sana kwa kuimarisha misuli ya kinena, mazoezi ya miguu ni pamoja na kuruka kamba, squart nk.

Kwa upande wa vyakula kwanza kuna chakula mchanganyo ambapo hapa utachangayna asari nusu lita, habat soda 2 (vijiko), mdalasini 1, tangawizi 1, pili pili manga 1, vitunguu swaumu punje 15, yai 1 la kuku wa kienyeji, vinega/siki kijiko 1, siagi ya karanga/brue band kijiko 1 na kweme kama utazipata, kunywa mchanganyiko huo kutwa mara 3(vijko 2) asari ikiwa robo hivyo vipimo utagawa kati, wakati huo kila siku jitahidi kunywa maji mengi, tangawizi mbichi, juisi ya ukwaju na pia tumia karanga kwa wingi pamoja na mbegu za maboga tafuna kwa wingi sana, mbegu za maboga na karanga mbichi kwa DSM zinauzwa maeneo mengi tu, pia kula mapalachichi na ndizi mbivu matunada mengine. Supu ya pweza nayo ni nzurli sana ila ukiweza tengeneza nyumbani zile za barabarani hazina ubora ni maji na rangi tu si supu. Kama utaweza kufanya hayo mazoezi na kula hivyo vyakula baada ya wiki 2 utaona mabadiliko.

ZINGATIA
1. Usipende sana hizi dawa aina ya viagra, hizi ukinywa na hasa kama un umri mkubwa ni sawa na kufunga injini ya Yutong ktk bajaji

2. Jikubali kuwa kwa sasa una tatizo hivyo usiwe nyege mkononi ie ukimuona chura Manzese tu tayari twende, ukifika K'koo mwingine

3. Nguvu hizi hurudi taratibu hivyo ikifika mda unaweza piga bao 1 kwa siku basi piga moja acha, itafika mda utapiga zaidi ya moja usilazimishe baiskeli iwe bulldoza

4. Tiba ni hatua hivyo usitegemee ukila leo keshokutwa ukawa fit, hivi vyakula vinaoelezwa ktk threads mbali mbali ni vizuri sana ila tatizo watu wanataka fastafasta

5. Mimi si mganga ila baada ya kusoma threads mbali mbali hapa jf na kwingine nikaboresha nikapata hiyo kitu mi imenisaidia sana, kwa vile nilipata mitandaoni nikaona nishee na wenzangu, mi imenisaidia kwa hiyo unaweza jaribu nawe pia.

6. Picha za ngono na chaputa zinaharibu sana saikolojia ya tendo la ndoa acha mara moja.

7. Tafuta asali ya nyuki halisi, asali nyingi za DSM ni mchanganyiko wa matunda yaliopikwa sio asali.

Ila nasistiza mimi sio mganga nimegundua tu accidentally na experience.

Kwa wenye maboresho na ujuzi zaidi mnakaribishwa kuchangia
 
Mimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom