Accidental Connection: Tanzania wanted to sell its ivory stockpiles worthy 89 Billion..

Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,249
Points
2,000
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,249 2,000
Early in October this year the Tanzanian government floated the idea that it was considering selling of its massive stockpile of ivories. According to the Deputy Minister for Natural Resources and Tourism Lazaro Nyalandu the government (meaning had a blessing of the cabinet) was seriously considering selling over 100,000kg of ivories. This however, was not the first time the Tanzanian government had toyed with the idea. In 2010 Kikwete government tried unsuccessfully to sell over 90,000 kg of ivories in its possession. After worldwide outcry and opposition from activists and of course Kenya - the government backed down.

What is more alarming - for some of us anyway - is that only less then two months after the government had pushed again the idea of selling its ivories stockpiles two containers have been seized in Hong Kong in what I can only speculate that is probably linked to the Tanzanian ivory stockpiles. But more interesting is that the containers seems to have been shipped from Tanzania and no one in our government was able to stop the shipment until it reached its destination in the Far East.

What are the chances that the ivory seized in Hong Kong are part of the same stockpile spoken about by Nyalandu? Who is trying to sell them? Can Nyalandu assure the country that the stockpile that he was speaking about just over a month ago is still intact? If it is intact where does this massive stock of ivories originate in Tanzania? Is there someone who has been able to hold onto probably the largest stockpile of ivories in private hands? Who is he and where does he get his audacity to trade in ivory?
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,658
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,658 2,000
Kuna zilizokamatwa juzi(mwezi october) huko Hong Kong...Zimetokea Tanzania,wabongo wenye mzigo walikuwa wakidai eti container limebeba "plastic scraps",nyingine zimetokea Kenya(pengine mtandao wao ni mmoja),so inaonekana majangili bado wanapeta tu,imagine tembo wangapi wameuwawa!?Inasemekana baada ya miaka 20 tembo watakuwa hatarini kufutika duniani.

Hong Kong) (CNN) -- Hong Kong authorities confiscated $3.4 million ($26.7 million in Hong Kong currency) worth of ivory found in two shipping containers this week.
The illegal goods weighed more than 8,000 pounds, making it one of the biggest seizures of ivory in Hong Kong.
The containers arrived from Tanzania and Kenya
, according to Hong Kong customs officials. The agency seized a total of 1,209 pieces of ivory tusks and three pounds of ivory ornaments from the two containers.

Hong Kong Customs was on alert after a tip-off from Guangdong officials in China. On October 16, Hong Kong officers inspected a container from Tanzania claiming to carry plastic scrap and found $1.7 million worth of ivory. A day later, a second container from Kenya was seized with ivory valued at $1.7 million, according to Hong Kong Customs.

Seven people, including one Hong Kong resident, have been arrested by Chinese authorities in connection to the cases, said a customs spokeswoman.

Hong Kong is viewed as a transit point for the illegal ivory trade, feeding into increasing demands in China, according to a Time article published this week.

Elephants are being killed in Africa at an alarming rate as international demand soars for ivory. Much of the demand comes from increasingly affluent Asian countries, particularly China and Thailand.

The last major bust in Hong Kong occurred in 2011, when officials seized a shipment of ivory and rhino horns valued at $2.2 million in Hong Kong dollars.

Four tons of African ivory caught in Hong Kong - CNN.com

My Take:Hong Kong walitonywa na wachina kuhusu hilo container,ni wazi wachina wameshajuwa uchafu wa wabongo na hivyo kila kitu watakitupia macho mara mbili mbili!
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,249
Points
2,000
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,249 2,000
We need to know nani wanauza haya; isije kuwa ndio pesa za kujenga makao makuu ya CCM... kama hawawezi kuiba benki kama EPA.. well.. 89 Billion is very very tempting... ni kama kuweka almasi uvunguni mwa kitanda halafu kwenda kuishi kuomba omba..
 
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,068
Points
2,000
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,068 2,000
ningefurahi kama meno haya ya tembo yanauzwa kinyemela kwa maslahi ya taifa!
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,402
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,402 0
Hizo ivory zilizoko ivory room zinapaswa zichomwe moto kama ilivyofanya Kenya miaka kadha iliyopita kutii agizo la CITES. Lengo ni kupunguza mauaji ya tembo.

Na sioni mapungufu yoyote kiuchumi waliyopata Kenya baada ya kuchoma moto pembe zao.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,249
Points
2,000
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,249 2,000
Wao wanapoangalia hizo nyara wao wanapiga mahesabu ya fedha; hawawezi kuzichoma moto!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,827
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,827 2,000
We need to know nani wanauza haya; isije kuwa ndio pesa za kujenga makao makuu ya CCM... kama hawawezi kuiba benki kama EPA.. well.. 89 Billion is very very tempting... ni kama kuweka almasi uvunguni mwa kitanda halafu kwenda kuishi kuomba omba..
We unadhani kwanini Kinana kapewa ukatibu mkuu?
Yuko pale kwa ajili ya kufanikisha chama kinakusanya hela nyingi za kampeni mwaka 2015.
Kumbuka Kikwete kasema sasa chama hakitahitaji michango ya matajiri
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,249
Points
2,000
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,249 2,000
Hii ni kashfa kubwa kuliko watu wanavyofikiria; inahusiana na uchaguzi wa 2015
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Points
1,225
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 1,225
Sijui kama watanzania bado hatujauzwa, hii trend si nzuri.
 
Z

Zungu Pule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Messages
2,218
Points
2,000
Z

Zungu Pule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2008
2,218 2,000
Hizo ivory zilizoko ivory room zinapaswa zichomwe moto kama ilivyofanya Kenya miaka kadha iliyopita kutii agizo la CITES. Lengo ni kupunguza mauaji ya tembo.

Na sioni mapungufu yoyote kiuchumi waliyopata Kenya baada ya kuchoma moto pembe zao.
Huwezi kuchoma hela moto. Na sidhani kama CITES wameagiza hivyo. Kwanza hawana mamlaka hayo. Mamlaka yao ni ku-regulate international trade in ivory and other stuff.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
ningefurahi kama meno haya ya tembo yanauzwa kinyemela kwa maslahi ya taifa!
Shida ni kwamba wakiuza mafichoni tutajuaje kama wamefikisha hela zote hazina. CCM hawaaminikini hata hadharani itakuweje mafichoni. Kama hawatakuja na story kuwa walihitajia toa rushwa kwa watu fulani fulani ili kufanikisha zoezi,kabla ya kujasikia kuwa watu kama akina chenge wakidai ni vijisent tuu waliwekewa ktk ktk account zao.

Msijekuwa mnaitunza somalia kwa uogozi wa Kinana.Pamoja na wizi wote wa kinana ktk nchi hii bado genge lake la waomali tanzania limechoka, sijui kama hafanayi kazi ya kuokoa watu wake kule somalia.

Soon utekaji meli utapata hifadhi sana Tanzania kwa kuwa na "broker hapa hapa kama Kenya"
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,085
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,085 2,000
Kwani CIA na Mosad wana fund vipi shughuli zao?
 
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,544
Points
1,225
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,544 1,225
I just realized how slow we are at connecting things. This is huge na hili suala ni la kimataifa kama lilivyo la kitaifa nadhani kwa pressure ya ndani ukichangia na ya nje itakuwa vizuri kama everything will come out in the open. Kuna maswali mengi ya kujibiwa inawezekana tusipate majibu lakini sasa tutaona how story ya EPA inavyojirudia mbele ya macho yetu kwakuwa kama si meno ya tembo lakini kuna ujambazi mwingine waiting to happen au unatokea as we speak
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,374
Points
1,225
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,374 1,225
Sijui kama watanzania bado hatujauzwa, hii trend si nzuri.
Mkuu ndo unashtuka kuwa tumeshauzwa!! Mi nadhani tuliuzwa tangu 2010. Hawa jamaa (EL, JK n.k) wanapenda sana pesa. Walishatuuza ni basi tu hatujuhi.
 
B

Bahati Risiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
530
Points
0
B

Bahati Risiki

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
530 0
Hivi watanzania tunafanya nini hadi nchi inanuka uozo kiasi hiki? Hii ni serikali ya aina gani hadi tunaivumilia kiasi hiki? Watu wetu wanasanbaratishwa kwa mabomu na risasi bado tunakodoa tu macho. Wanyama wetu wanasafirishwa hai, bado tunaangalia tu. Nyara kama inavyonyesha picha hapo juu. Jamani tunatabasamiwa kama majuha tunaitika naam na kuendelea mbele. Hakuna wa kuuliza hata swali ni kwa nini tuhujumiwe kiasi hiki? Maliasili kibao watu wanakufa maskini raisi mtu mzima na familia wake wanajineemesha ile mbaya kwa kutumia utajiri wetu tuliopewa bure. Ni kwa nini tunavumilia uvundo kama huu? Hii nchi ina walakini mkubwa sana!
Hata shamba la bibi halivunwi kwa ukosefu wa adabu kiasi hiki. Hadi inatia aibu!
 
M

Mkulima mimi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
233
Points
170
M

Mkulima mimi

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
233 170
Please i always dont understand Tanzanian goverment especially on issue of ivory! Does some one know in which country on earth such trade is legal!
 
Tram Almasi

Tram Almasi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
750
Points
195
Tram Almasi

Tram Almasi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
750 195
Kuna zilizokamatwa juzi(mwezi october) huko Hong Kong...Zimetokea Tanzania,wabongo wenye mzigo walikuwa wakidai eti container limebeba "plastic scraps",nyingine zimetokea Kenya(pengine mtandao wao ni mmoja),so inaonekana majangili bado wanapeta tu,imagine tembo wangapi wameuwawa!?Inasemekana baada ya miaka 20 tembo watakuwa hatarini kufutika duniani.

Hong Kong) (CNN) -- Hong Kong authorities confiscated $3.4 million ($26.7 million in Hong Kong currency) worth of ivory found in two shipping containers this week.
The illegal goods weighed more than 8,000 pounds, making it one of the biggest seizures of ivory in Hong Kong.
The containers arrived from Tanzania and Kenya
, according to Hong Kong customs officials. The agency seized a total of 1,209 pieces of ivory tusks and three pounds of ivory ornaments from the two containers.

Hong Kong Customs was on alert after a tip-off from Guangdong officials in China. On October 16, Hong Kong officers inspected a container from Tanzania claiming to carry plastic scrap and found $1.7 million worth of ivory. A day later, a second container from Kenya was seized with ivory valued at $1.7 million, according to Hong Kong Customs.

Seven people, including one Hong Kong resident, have been arrested by Chinese authorities in connection to the cases, said a customs spokeswoman.

Hong Kong is viewed as a transit point for the illegal ivory trade, feeding into increasing demands in China, according to a Time article published this week.

Elephants are being killed in Africa at an alarming rate as international demand soars for ivory. Much of the demand comes from increasingly affluent Asian countries, particularly China and Thailand.

The last major bust in Hong Kong occurred in 2011, when officials seized a shipment of ivory and rhino horns valued at $2.2 million in Hong Kong dollars.

Four tons of African ivory caught in Hong Kong - CNN.com

My Take:Hong Kong walitonywa na wachina kuhusu hilo container,ni wazi wachina wameshajuwa uchafu wa wabongo na hivyo kila kitu watakitupia macho mara mbili mbili!
Yani kwa hesabu rahisi tu kila tembo ana pembe mbili sasa hapo tembo wangapi wameuawa? Soooo sad aisee!
 
Forum statistics

Threads 1,294,409
Members 497,915
Posts 31,175,016
Top