Access Bank, interview Mbeya

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,600
1,567
Wakuu, naomba mnishauri, niko Pwani, nili apply access bank na nimeitwa kwenye usahili ambao unachukua siku 6 hadi 10, Mbeya.

Na kama mjuavyo gharama ziko juu.

Je nijaribu kwenda, au nisubiri next opportunity?
 
mvumilivu hula mbivu.. teh teh!!
ngoja ngoja huumiza tumbo.. hahahaha!!
 
ok kaka hongera tafuta kazi ukiwa tayari unafanya kazi ngonyani so nenda Mbeya
 
Last edited by a moderator:
wakuu mimi nimeitwa hiyo interiwew, kiukweli sina kazi ila nitashindwa kwenda,yan nauli yenyewe kutoka hapa dar sina, kweli kisicho rizki hakiliki
 
nenda.Mimi nilikuwa dar nikaitwa interview mwanza.nilifanya huku nikiwa guest siku 6 zote.nashukuru mungu nilipata kazi na mpaka sasa nipo kazini.omba mungu uckate tamaa kazi ngumu kupata.
 
Back
Top Bottom