duh hii noma maana wengine tumefanya interview leo.mbona thread inatutisha?
Habar zenu kwanza. Am a new member in jf. Kwa kweli maisha ya kutegemea ajra magumu. Vumilia, huenda wanakupma kwnz ili waanze kkpa unachostahili.
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....

Level ya degree, mshahara laki moja na nusu? Wanatumia scale ya wapi hawa! That is useless, nilitaka kumtafutia kazi ndugu yangu huko, sasa basi. Nishaghairi.Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....