ACCACIA amesalimu amri, BARICK amekubali hata kama ni kwa shingo upande amekubali sasa hawa wapinzani ndio wanaweza fanya nini?

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Wanadanganyana sana hawa jamaa wanasema hali tete sijui hali tete ipi na mahindi huku mitaani yameshuka ndoo mpaka 8000 na mpaka 4000 yatafiika yaani wananchi wameshiba

Hivi Mbowe hajui kwamba wamachinga aliowatumia kama mtaji wa kisiasa Leo hii wapo busy kuuza bidhaa mitaani

Kweli yaweza kuwa hali tete kwa majizi na Mabeberu yao lakini wakubali tu kuwa huu nao ni wakati wa Nyani kula bata

Mbowe wananchi wanakushangaa sana unaposema hali tete yaani wanakushangaa mnoo kubali tu kwamba Chama kimekufia mikononi na hauna jinsi
 
Chama chako cha ccm kimesheheni majizi ya kila aina. Kuna majizi kupitia mikataba, majizi kupitia benki, majizi kupitia sanduku la kura, majizi kupitia miradi hewa na utumishi hewa, majizi kupitia mitandao, majizi kupitia Bunge nk.
 
Back
Top Bottom