ACCA center DSM

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
211
45
Salama ndugu....Mwenye kujua location ya center ya ACCA kwa DSM au contact zao naomba anijulishe tafadhari. Asante
 
Salama ndugu....Mwenye kujua location ya center ya ACCA kwa DSM au contact zao naomba anijulishe tafadhari. Asante

Kwa anayefahamu naomba pia ajibu center za Certified Internal Auditor pia kwa DSM.Na je Internal Auditor General huwa anadhamini watumishi wa umma.
 
Hawa jamaa hawana centre moja. Wao huwa wanakodi ukumbi halafu wanapeleka "invigilators" wao kwa ajili ya kusimamia mitihani. Mara moja walifanya Ubungo Plaza, wadosi wakalalamika kichizi kwani ndo wengi wanaofanya mitihani hii. Wengi wao toka wazaliwe hawajawahi kuvuka Fire, Salender Bridge, Kamata n.k. (yaani wanaishi City Centre na Kariakoo tu). Hivyo wakabadilisha na wanatuma cetre kwa wale tu waliojiorodhesha na kulipia. Hivyo kama umelipia na una account katika site yao basi Login na utajua mwaka huu watafanyia wapi wanawekaga na ramani
 
Asante mkuu....
Hawa jamaa hawana centre moja. Wao huwa wanakodi ukumbi halafu wanapeleka "invigilators" wao kwa ajili ya kusimamia mitihani. Mara moja walifanya Ubungo Plaza, wadosi wakalalamika kichizi kwani ndo wengi wanaofanya mitihani hii. Wengi wao toka wazaliwe hawajawahi kuvuka Fire, Salender Bridge, Kamata n.k. (yaani wanaishi City Centre na Kariakoo tu). Hivyo wakabadilisha na wanatuma cetre kwa wale tu waliojiorodhesha na kulipia. Hivyo kama umelipia na una account katika site yao basi Login na utajua mwaka huu watafanyia wapi wanawekaga na ramani
 
Salama ndugu....Mwenye kujua location ya center ya ACCA kwa DSM au contact zao naomba anijulishe tafadhari. Asante

Mkuu unaweza kujaribu FTC,Financial Training Centre wapo Osman Tower mtaa wa Zanaki mkabala na Bibi Titi road na Elia Complex,unaweza kutembelea tovuti yao www.ftc-tz.com.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Thanks a lot kaka, nimekwisha chek nao na nimefanikiwa pamoja sana....
Mkuu unaweza kujaribu FTC,Financial Training Centre wapo Osman Tower mtaa wa Zanaki mkabala na Bibi Titi road na Elia Complex,unaweza kutembelea tovuti yao www.ftc-tz.com.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Vigezo vya kusoma acca je ina tofauti na cpa

Vigezo vinafanana Siku za ajabu isipokuwa CPA(T) ni local na kila nchi duniani ina CPA yake ila ACCA ni ya kimataifa.
Nimekuwekea vigezo vya kusoma ACCA hapa chini,chanzo ni https://portal.accaglobal.com/accrw...ations/enquiry/main/EnqInstitutionsTable.jspx

TANZANIA

ACCA QUALIFICATION – ENTRY REQUIREMENTS
[h=1][/h]
Qualification
ACCA
National Accountancy Diploma (NAD) part II
Sufficient for Registration
2 passes at East African Advanced Certificate of Education / GCE A Level / National Form VI Examination / Cambridge Overseas Higher School Certificate [grades A-E]
PLUS
3 passes at East African Certificate of Education / GCE O Level / Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE) / Cambridge Overseas School Certificate [grades 1-6] (in 5 separate subjects including English and Mathematics)
Sufficient for Registration
Full Technician's Certificate (FTC) (3 years)
Sufficient for Registration
Post-CSE Technical College Certificate (2 or 3 years)
Sufficient for Registration
Technician's Certificate (TC) (2 years)
Sufficient for Registration
Diploma
Sufficient for Registration
Secondary School Leaving Certificate
Insufficient for Registration

Accreditation
January 2007
Updated July 2010
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom