Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,105
Wakuu mko poa?hivi naomba kuwauliza,kati ya transcript na cheti ni kipi hasa chenye umuhmu ktk kuombea kazi?maana nilidhani cheti cha chuo ni kitu kikuubwa mpaka utumishi wawe wanakisisitizia namna ile lakini binafsi nikikilinganisha na transcript,naona transcript ndio yenye umuhimu zaidi coz inaonyesha kozi ulizosoma na matokeo yako kwa kila somo,pia naona transcript ni ngumu kufojiwa na wajanja wa mjini coz ina picha yako ambayo iko scanned so ni ngumu mtu kufoji.cheti chenyewe kina jina lako,degree ulyosomea na mwaka uliomaliza na sign ya vc na Dvc basi,alafu naona cheti ni rahisi sana kugushiwa na watoto wa mjini.so me ningewashauri utumishi na taasisi zingne za umma kuzikubali transcripts zaidi kuliko vyeti.