Anahitajika Academic manager 1

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,962
22,333
Habari zenu wadau,

Kuna nafasi moja ipo wazi na inahitaji kujazwa as soon as it can be! Nafasi hii kwa mfumo wetu ni ya "academic manager"

Shule husika ina madarasa nane ambayo mawili ni kindergaten na madarasa 6 ni ya primary. Academic manager atakuwa na majukumu ya kuhakikisha day to day activities are well accomplished, he/sh will be working closely with teacher mentor ambae yupo tayari on site, he/she will be in charge of assigning tasks to volunteers who are mostly foreigners, he/she will be reporting to foundation manager and will be attending the weekly management meeting in a weekly basis, and he/she will be responsible for all other tasks assigned by the foundation manager.

Sifa za kwanza muhimu ni :-

(i) awe ni mwalimu by proffession na awe na ngazi ya degree au master degree
(ii) Awe na uzoefu wa kuwa katika nafasi za uongozi kwa miaka isiyopungu miwili.
(iii) awe na extrra-ordinary ability and capability in English language in both writing and speaking skills.
(iv) Awe na uwezo wa kutumia computer vizuri

Incentives:-

(i) Very good and competitive salary
(ii)Accommodation will be provided during the probation period which is (three - six months)
(iii) Three meals per day will be provided during the probation period excluding drinks
(iv) The school is located by the beach and the working environment is the best

Males are encouraged to apply japo wadada pia mnaruhusiwa, candidates with no families are encouraged to apply, muslims are encouraged to apply though Non- muslims can apply too.

Please kwa wanao-qualify tu ndio waje PM kwa ajili ya contact za kutuma application zao.
 
Kwenye hicho kipengere cha dini hapo ushaonyesha kabisa wa upande wa pili wasijisumbue ku apply,nadhani kwa Tanzania tuliyo nayo sidhani ni kama jambo sahihi kuweka vipengere vya udini,hii inaleta mpasuko mkubwa sana kwenye jamii yetu.
 
nimekuelwa mkuu ila sio waislam wote wapo hivyo kama huyu.
 
Kwenye hicho kipengere cha dini hapo ushaonyesha kabisa wa upande wa pili wasijisumbue ku apply,nadhani kwa Tanzania tuliyo nayo sidhani ni kama jambo sahihi kuweka vipengere vya udini,hii inaleta mpasuko mkubwa sana kwenye jamii yetu.
Ahsante kwa kuchangia mkuu. Nimesema kabisa, they are encouraged. Usitake statement iwe vile unavotaka wewe mzee.

By the way, zipo sababu za Msingi sana kuweka hicho kipengele na usidhani watu wamekurupuka.
 
Mkuu kama kuna sababu za msingi mwombaji awe mwislamu ungesema mapema kuliko kuweko neno "encouraged" hapa kuna religionism aspect macho yangu
 
Mkuu,kuna nawatu ulishawai kuwafanyia interview na ukasema umewaweka katika waiting list...VP ukiwaita hao wakakusaidia kwani ni walimu by professional
 
Ahsante kwa kuchangia mkuu. Nimesema kabisa, they are encouraged. Usitake statement iwe vile unavotaka wewe mzee.

By the way, zipo sababu za Msingi sana kuweka hicho kipengele na usidhani watu wamekurupuka.
Katika nchi yetu toka ipate uhuru sijawahi kusikia kigezo cha udini kikiwa listed wazi wazi kama ulivyo fanya wewe,ila mimi nakupongeza kwa kutokuwa mnafiki wa kuficha hisia na hurka zako za udini.
 
Mkuu,kuna nawatu ulishawai kuwafanyia interview na ukasema umewaweka katika waiting list...VP ukiwaita hao wakakusaidia kwani ni walimu by professional
Mkuu kwa wale ambao tuliwaweka kwenye waiting list hawatofaa kwenye position hii. This is administration position and it needs people with experience as well as high level of qualification
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom