ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

Kwani tulikua hatuhakikishi kinachotoka kupitia ile body ya TMAA sijui inaitwaje ..ile ilivunjwa Siku ile ya live kutoka ikulu

Sent from my Cynus_F9_4G using JamiiForums mobile app
TMAA ilikuwa imenunuliwa na Acasia. Sasa mfumo wa usimamizi wa maliasiri zetu tuliouweka kwenye sheria mpya, hautoi mwanya wa kununulika!
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Wewe bongo lala kweli tulitegemea at least tupewe 30% ya mapato!!
Unaomba 6%. as if aridhi na madini sio mali yetu!!
Out of 100% unapewa 6% unacheukelea utakuwa mzima kweli??
 
Kwaiyo mwekezaji anachukua asilimia 92sisi nane hatakumi haifiki povu lote lililo tutoka

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Hakiyamungu kamakweli kunamoto baazi yaviongozi watakwenda motoni

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
TMAA ilikuwa imenunuliwa na Acasia. Sasa mfumo wa usimamizi wa maliasiri zetu tuliouweka kwenye sheria mpya, hautoi mwanya wa kununulika!
toa kauli hii serikali itakapokubali achaguliwe mpimaji huru apime content ya yale makinikia na akaja na matokeo kama ya mruma....hapo unaweza kusema wale TMAA walinunuliwa.
 
Wewe bongo lala kweli tulitegemea at least tupewe 30% ya mapato!!
Unaomba 6%. as if aridhi na madini sio mali yetu!!
Out of 100% unapewa 6% unacheukelea utakuwa mzima kweli??
ndugu mtanzania mwenye machungu na nchi yako naomba nikueleweshe nimebahatika kupata uelewa kuhusu mambo ya natural resources exploitation. kwa ufupi ni kwamba any natural resource inapovunwa muwekezaji anatakiwa alipe royalty payment kwa mmiliki wa resource (google royalty payment) kwa hapa kwetu ni serikali, hii ni tofauti kabisa na umiliki wa kampuni ambapo wamiliki (shareholders) wanagawana dividend ambayo ni faida ya mauzo. royalty ni kama kodi ambayo inatozwa pale ambapo resource inapouzwa na inakuwa ni asilimia fulani ya thamani ya resource(madini) yanayouzwa at a market price. sheria mpya ya madini inahitaji muwekezaji yoyote kulipa 6% kama royalty.
kwa upande wa umuliki nadhani bado wako kwenye negotiation na hiyo mara nyingi huwa haina legal requarement ili kuregulate efficiency kwenye production. hivyo serikali inawezakuwa non owner,partial owner au wholly owner kutegemea umuhimu wa resource katika jamii pamoja na gharama za uendeshaji.
naamini wataalamu wetu wamebobea katika mambo hayo na wanawezakuyaweka vizuri ili sehemu zote(mwekezaji na serikali) zifaidike. maoni ya watanzania ni muhimu ila nashauri tusiichukulie too politically than the real situation on the ground.
by the way mi ni natural resources economist with a bacheolor degree in that field.
 
toa kauli hii serikali itakapokubali achaguliwe mpimaji huru apime content ya yale makinikia na akaja na matokeo kama ya mruma....hapo unaweza kusema wale TMAA walinunuliwa.
Hakuna cha contract ya mpima huru wala nini. Mali ni yetu, tunapima wenyewe. Uwezo wa kupima wenyewe tunao. Uuamini usiuamini sisi haituhusu.
 
Wangesema wamekataka huu uzi ungekua page ya 100...vijana wa Tanzania sijui ni nani aliyetuloga hatuna uzalendo kabisa....watamuelewa JPM tu ata kama hawataki
All the best ma President
 
5
Mrahaba ni kiasi mapato unacholipa kwa kutumia kitu ambacho sio chako kujipatia mapato hayo
Mfano unaweza ukamkodishia mtu shamba ukamwambia kila mgunia 100 atakayovuna basi magunia 6 atakulipa wewe kwa kutumia lile shamba lako, hayo magunia 6 ndio mrahaba
Na kwenye madini ndio hivyo hivyo, wanamaanisha kwenye mapato yao watatulipa 6% kwa kuwa madini ni yetu
Asante kwa kutuelemisha
 
Lakini si mlisema kampuni ya ACACIA haijasajiliwa hivyo haitambuliki??!!?

Au?

sent from servant of God
Tanzania kuna miujiza sio maajabu!
Kampuni ambayo haijasajiliwa inalipa kodi na mrabaha sambamba na kuendelea kufanya shughuli zake!!
 
Mbona Acacia wamekuwa kma mfa maji kla ck wanahabari mpy Hongera sana Mh Rais nchi lazma iheshimike

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Aisee!! Kweli nchi lazima iheshimike kwa kupewa punje ya karanga badala ya tonge!!
Kweli asilimia 6% ni nyingi ki-akiliccm kuliko maslahi mapana ya Taifa na vizazi vijavyo.
HEKIMA, UMOJA NA AMANI!
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Mungu mwema wakat wote,hela mlipaswa kuwa nayo tangu 1998 mnakuja kuililia 2017 kwa uzembe wenu.
Na walosaini wanawaita MALOFA na WAPUMBAVU

May Allah bless Me and You
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Wapo, hasa wale wa kundi la [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG]
 
Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yasema italipa mirahaba iliyowekwa katika sheria mpya za madini.

Sheria mpya ya madini inawataka wawekezaji katka sekta hiyo kulipa asilimia 6 ya mirahaba ikiwa ni ongezeko la asilimia 2 zilizokuwepo awali pamoja na asilimia 1 ni kwa ajili ya usafirishaji kwenda nje.

=====
Acacia notes the publication in Tanzania’s official Government Gazette of new legislation governing the natural resources sector.

Of the legislation passed, the Written Laws Miscellaneous Amendment Act, being an amendment bill to the 2010 Mining Act, is now in force and is being applied by Tanzanian authorities. Acacia continues to monitor the impact of the new legislation in light of its Mineral Development Agreements with the Government of Tanzania.

However, to minimise further disruptions to our operations we will, in the interim, satisfy the requirements imposed as regards the increased royalty rate applicable to metallic minerals such as gold, copper and silver of 6% (increased from 4%) in addition to the recently imposed 1% clearing fee on exports.

TANZANIANS, OUR GOD MUST BE CRAZY
 
Mkapa alisaini mikataba iliyoweka mrahaba wa serikali 3%.

Kikwete akaahidi kulinda maslahi ya Taiga kwenye Madini,akaunda tune,akasign mrahaba wa 4% toka 3%.

Magu akang'aka na kutuhubiria Noah na uzalendo,kasaign 6% toka 4%!!!!!

Tuandamane kwa hongera na kumtaka atawale milele!!!H
VERY TRUE
 
Back
Top Bottom