Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

Bosi wa Barrick, leo katinga ikulu yetu kumuona rais wetu na kutuletea habari njema kuwa wataheshimu makubaliano yote kati ya Barrick na serikali yetu na kuwa tayari wameisha yawasilisha Acacia kwa utekelezaji.

Leo leo, Acacia wametoa Press Release kuwaruka Barrick

TAARIFA YA ACACIA

Acacia notes today’s announcement by Barrick Gold Corporation (“Barrick”), Acacia’s majority shareholder, regarding an update on the ongoing discussions with the Government of Tanzania (“GoT”)

Acacia has not yet received any proposal from Barrick regarding a comprehensive resolution of the Company’s disputes with the GoT. Any proposal received by Acacia will be subject to review by the Independent Committee of the Acacia Board of Directors.

A further update will be provided when appropriate

======

My Take.
Hii sii dalili nzuri, wewe kama mwana jf, be the first to know from me, kuwa mapendekezo yoyote ya settlement kati ya Barrick na Tanzania, tayakafikishwa kwenye Bodi ya Acacia, yatakataliwa!.

Acacia ni mtoto tuu, baba ni Barrick, haiwezekani baba aseme kitu fulani, atoe press release, azungumze hadi na Reuters na kutangazia dunia, halafu wewe mtoto unatoa press release kumkana baba!.

Paskali
mkuu Paskali, Barrick = Acacia.

hawa ni watoto wa mujini... level ya akili za wakolomije wameigundua, so wanawachezesha kama pia.
 
Bosi wa Barrick, leo katinga ikulu yetu kumuona rais wetu na kutuletea habari njema kuwa wataheshimu makubaliano yote kati ya Barrick na serikali yetu na kuwa tayari wameisha yawasilisha Acacia kwa utekelezaji.

Leo leo, Acacia wametoa Press Release kuwaruka Barrick

TAARIFA YA ACACIA

Acacia notes today’s announcement by Barrick Gold Corporation (“Barrick”), Acacia’s majority shareholder, regarding an update on the ongoing discussions with the Government of Tanzania (“GoT”)

Acacia has not yet received any proposal from Barrick regarding a comprehensive resolution of the Company’s disputes with the GoT. Any proposal received by Acacia will be subject to review by the Independent Committee of the Acacia Board of Directors.

A further update will be provided when appropriate

======

My Take.
Hii sii dalili nzuri, wewe kama mwana jf, be the first to know from me, kuwa mapendekezo yoyote ya settlement kati ya Barrick na Tanzania, tayakafikishwa kwenye Bodi ya Acacia, yatakataliwa!.

Acacia ni mtoto tuu, baba ni Barrick, haiwezekani baba aseme kitu fulani, atoe press release, azungumze hadi na Reuters na kutangazia dunia, halafu wewe mtoto unatoa press release kumkana baba!.

Paskali
Japokuwa Barrick wana share nying ila wanachokifanya hapa ni mediation kati Serikali na Accia ili kulinda share zao, hawawezi kuamua kwa niaba ya Acacia.
Maamuzi ya kulipa au la yanabaki na Acacia na ni dhahiri hawajaridhia makubaliano ya serikali na Barrick.
Acacia walishasema wamepata hasara, huku tuendako atakaye kuja kutolewa hela ni serikali.
Jiwe ana laana kila anapogusa anaharibu.
 
Swali bado liko pale pale, tulimpa nani mgodi? Uliempangisha nyumba yako ndie unaetakiwa ukubaliane nae maswala mbali mbali kama vile kiwango cha kodi, aina ya ulipaji, etc.

Sio kaka, mjomba, binamu, mkwe wala nani yake.

Umeambiwa acacia mkuu
 
Mimi katika hii senema bado kuna baadhi ya scene sijazielewa,

1. Sisi tunaowadai ni Barrick au Accacia!?

2. Kama tunawadai Accacia, kwanini tunafanya mazungumzo na Barrick!? Na kama tunawadai Barrick, kwanini tukifanya mazungumzo na Barrick Accacia wanatoa press release against mazungumzo yetu yasiyowahusu!?

3. Leo walikuwa wanazungumza kukubaliana nini wakati tangu 2017 tuliambiwa tulishafikia makubaliano tusubiri kurudishiwa chenji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bariki hajampangisha acacia. Bariki anamiliki 63.9% kwenye company ya acacia. Acacia ni company harari na mmiliki wa migodi hapa bongo. Habari za kuwa acacia mpangaji zinapatikana Lumumba na kwenye jumba jeupe. Ila ukienda TRA na brera acacia ni company inayomiliki migodi ya buzwagi, north Mara na bulanhulu.
Swali bado liko pale pale, tulimpa nani mgodi? Uliempangisha nyumba yako ndie unaetakiwa ukubaliane nae maswala mbali mbali kama vile kiwango cha kodi, aina ya ulipaji, etc.

Sio kaka, mjomba, binamu, mkwe wala nani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bosi wa Barrick, leo katinga ikulu yetu kumuona rais wetu na kutuletea habari njema kuwa wataheshimu makubaliano yote kati ya Barrick na serikali yetu na kuwa tayari wameisha yawasilisha Acacia kwa utekelezaji.

Leo leo, Acacia wametoa Press Release kuwaruka Barrick

TAARIFA YA ACACIA

Acacia notes today’s announcement by Barrick Gold Corporation (“Barrick”), Acacia’s majority shareholder, regarding an update on the ongoing discussions with the Government of Tanzania (“GoT”)

Acacia has not yet received any proposal from Barrick regarding a comprehensive resolution of the Company’s disputes with the GoT. Any proposal received by Acacia will be subject to review by the Independent Committee of the Acacia Board of Directors.

A further update will be provided when appropriate

======

My Take.
Hii sii dalili nzuri, wewe kama mwana jf, be the first to know from me, kuwa mapendekezo yoyote ya settlement kati ya Barrick na Tanzania, tayakafikishwa kwenye Bodi ya Acacia, yatakataliwa!.

Acacia ni mtoto tuu, baba ni Barrick, haiwezekani baba aseme kitu fulani, atoe press release, azungumze hadi na Reuters na kutangazia dunia, halafu wewe mtoto unatoa press release kumkana baba!.

Paskali

Pascal hayo ni maneno ya mkosaji. Acacia was meant to fit a certain purpose. That purpose is no longer visible in the eyes of Barrick. Mtoto hawezi kukua kwa baba yake. Atalaanika
 
Mimi katika hii senema bado kuna baadhi ya scene sijazielewa,

1. Sisi tunaowadai ni Barrick au Accacia!?

2. Kama tunawadai Accacia, kwanini tunafanya mazungumzo na Barrick!? Na kama tunawadai Barrick, kwanini tukifanya mazungumzo na Barrick Accacia wanatoa press release against mazungumzo yetu yasiyowahusu!?

3. Leo walikuwa wanazungumza kukubaliana nini wakati tangu 2017 tuliambiwa tulishafikia makubaliano tusubiri kurudishiwa chenji!

Sent using Jamii Forums mobile app

Legally Acacia haipo Tanzania. Kama Barrick wakiisusa ina maana hawana pakushikia
 
Hapo zinapigwa danadana tu mpaka jiwe aondoke madarakani basi.Ni njia tu ya kumitigate political risk ambayo hawakuianticipate.Dola milioni 300 si mchezo mkuu.Na ubaya jiwe hawezi kurevoke mkataba.Ni yale yale ya koroshow,kuonyesha kwamba amefanya uamuzi sahihi.
 
Bosi wa Barrick, leo katinga ikulu yetu kumuona rais wetu na kutuletea habari njema kuwa wataheshimu makubaliano yote kati ya Barrick na serikali yetu na kuwa tayari wameisha yawasilisha Acacia kwa utekelezaji.

Leo leo, Acacia wametoa Press Release kuwaruka Barrick

TAARIFA YA ACACIA

Acacia notes today’s announcement by Barrick Gold Corporation (“Barrick”), Acacia’s majority shareholder, regarding an update on the ongoing discussions with the Government of Tanzania (“GoT”)

Acacia has not yet received any proposal from Barrick regarding a comprehensive resolution of the Company’s disputes with the GoT. Any proposal received by Acacia will be subject to review by the Independent Committee of the Acacia Board of Directors.

A further update will be provided when appropriate

======

My Take.
Hii sii dalili nzuri, wewe kama mwana jf, be the first to know from me, kuwa mapendekezo yoyote ya settlement kati ya Barrick na Tanzania, tayakafikishwa kwenye Bodi ya Acacia, yatakataliwa!.

Acacia ni mtoto tuu, baba ni Barrick, haiwezekani baba aseme kitu fulani, atoe press release, azungumze hadi na Reuters na kutangazia dunia, halafu wewe mtoto unatoa press release kumkana baba!.

Paskali

Mtoto anaekaa kwake (kwa maana ya kujitegemea) si mtoto, ni mtu mzima huyo. Usidhani Barrick hawakujua kuwa "mtoto" ana hiari ya kukataa makubaliano ya Baba na any third party. Tunang'ong'wa kisogoni na wenye hela na akili zao.
 
Acacia ni company inamiliki migodi mitatu Tanzania. Kama niwatoto endelea kuota. Kwa sasa acacia ana very strong Cash flow nyinyi mnasubili kishika uchumba yeye anavuna

Back
Top Bottom