ACACIA watakiwa kutoa trilioni 35 kama kishika Uchumba cha Mazungumzo

Wale wabunge mazwazwa anajisemea Zitto Kabwe ndiyo wanaweza kuropoka tu. Yaani thamani ya kampuni mama yenyewe ni trillion 50, halafu walipe tz trillion 35. Watz sijui tumelogwa. Kwa masikio hamsikii na macho pia hamuoni?
 
Aisee yaani we hold whites in very high esteem hata kuliko sisi wenyewe.Yaani jamaa wamefanikiwa kweli kutufanya tuwainamie.Shame on us!
Bosi huo ndio ukweli, hata waMalawi wangefanikiwa kutuingiza kwenye mikataba ya kilaghai kiasi kile tungeonekana hivyo mbele ya macho yao, hakuna kitu kinaitwa brainwashed, matendo yetu yamefanya tuonekane hivyo, kama tunahitaji tuonekane tofauti yatupasa tufanye kitu cha tofauti. Ukiuchukia upumbavu wakati bado unafanya upumbavu watu watakushangaa.
 
Kwani chagadema mmepagawa na nini. Hivi ikitokea wakalipa mtasema nini sasa. Lisu alisema watatushtaki na nyie mkasema lazima lakini hawakushtaki mkabaki vinywa wazi. Mjifunze kukaa kimya ili msumbuke mbele ya safali. Naona hii saga imewavuruga bichwa zenu
 
Hawa jamaa ni wezi wakubwa sana....ila kwa sasa ni ngumu sana kuwakamata.hayo makontena 277 na data za JPM zikiwa za uongo kesi imeisha no matter tumeibiwa vipi.
Mikataba kandamizi ni TAMAA YA VIONGOZI WETU...wao ni saving costs yao.
Hapana mkuu tayari wako kwenye viganja vyetu.The fact that Thornton amefunga safari kutoka Canada na kuja Tanzania ni ushahidi tosha kwamba tumewashika pabaya! Wanajua kwamba ushahidi tulio nao ni undeniable.Halafu msisahahau kwamba hawa tayari wamesha invest heavily in Tanzania,kwa hiyo hawana pa kukwepea,lazima wa negotiate in good faith. Migodi yao ya Tanzania ndiyo mikubwa kuliko yote and the most profitable.

Lastly Wazungu wanaogopa sana kuonekana wezi.Hawa watu kiasi kikubwa wanategemea biashara,tena biashara za kiujanja ujanja.Hii ina maana kwamba ukishawachafua watashindwa kufanya biashara sehemu zingine.Kwa hiyo wanafanya kila wawezalo ku-save their face.Ndio maana jamaa haraka haraka akakimbia kuja Tanzania.
 
Bunge limejaza mataahira,, mfano Musukuma yule utasema mbunge yule? Hopeless,, Lusinde utasema mbunge yule? Hopeless,, Jah pepo utasema mbunge yule? Hopeless!! CCM Imejaa majitu matumbafu yasiyojitambuaaaa!!
 
Heshima kwenu wakuu,

Hakika tuna njaa njaa. Gazeti la mwananchi limeandika, Baadhi ya wabunge waitaka Acacia ilipe angalau trilioni 35 kama kishika uchumba kabla ya mazungumzo ili kuongeza heshima ya nchi.

Najiuliza kama wasipotoa kishika uchumba wasikae?

Baada ya Kamati ya pili ya kuchunguza madini, mwenyekiti ya Barrick Gold alifika nchini kuonana na rais Magufuli.

Baada ya kuonana naye alisema kampuni yake ipo tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Tanzania yatakayozingatia maslahi ya pande zote mbili ikiwa ni pamoja na kulipa fedha zote ambazo inatakiwa kulipa kwa Serikali ya Tanzania.

Sasa Wabunge wanataka kishika uchumba
Mie nilijua ndo msimamo wa serikali kumbe ni maoni!
 
Hapana mkuu tayari wako kwenye viganja vyetu.The fact that Thornton amefunga safari kutoka Canada na kuja Tanzania ni ushahidi tosha kwamba tumewashika pabaya! Wanajua kwamba ushahidi tulio nao ni undeniable.Halafu msisahahau kwamba hawa tayari wamesha invest heavily in Tanzania,kwa hiyo hawana pa kukwepea,lazima wa negotiate in good faith. Migodi yao ya Tanzania ndiyo mikubwa kuliko yote and the most profitable.

Lastly Wazungu wanaogopa sana kuonekana wezi.Hawa watu kiasi kikubwa wanategemea biashara,tena biashara za kiujanja ujanja.Hii ina maana kwamba ukishawachafua watashindwa kufanya biashara sehemu zingine.Kwa hiyo wanafanya kila wawezalo ku-save their face.Ndio maana jamaa haraka haraka akakimbia kuja Tanzania.
Hakuna mtu yeyote anayependa kuonekana mwizi hata kama ni mwizi. Wote waliotajwa kwenye report ya pili wameshaitwa wezi, isipokuwa BWM na JHMK (mabosi wa waliotajwa).

Initiating negotiations ni namna ya kuondoa vikwazo katika mahusiano ya biashara na siyo stooping, yielding or submitting to the will of the other. It is just taking business responsibility and being accountable.

Tutakapopata tutakachopata ndiyo tutathibitisha kama tuliwashika pabaya au kinyume chake.

Tuombe Mungu yaishe kwa pande zote kupata stahiki. Zingatia kuwa hata kulipwa au kutolipwa; kulipa au kutolipa yatakuwa ni matokeo ya negotiations and agreement. Itakuwa ni stahiki and that will be just business.
 
Katika dunia ya wastaarabu ni aibu sana kujitambulisha kuwa ni mfuasi/kada wa ccm.Chama cha makinikia(ccm)kiliwakaribisha wenyewe wawekezaji na sasa kinaomba uchumba!Hili linawezekana Tanzania pekee.
 
Hao Starndadgage inawachanga, wanataka kwenda kwenye uchaguzi Starndadgage ikiwa imeisha kama Kenya. Walisha uza sasa wanadai nini
 
Hakuna mtu yeyote anayependa kuonekana mwizi hata kama ni mwizi. Wote waliotajwa kwenye report ya pili wameshaitwa wezi, isipokuwa BWM na JHMK (mabosi wa waliotajwa).

Initiating negotiations ni namna ya kuondoa vikwazo katika mahusiano ya biashara na siyo stooping, yielding or submitting to the will of the other. It is just taking business responsibility and being accountable.

Tutakapopata tutakachopata ndiyo tutathibitisha kama tuliwashika pabaya au kinyume chake.

Tuombe Mungu yaishe kwa pande zote kupata stahiki. Zingatia kuwa hata kulipwa au kutolipwa; kulipa au kutolipa yatakuwa ni matokeo ya negotiations and agreement. Itakuwa ni stahiki and that will be just business.
Hawana responsibility yeyote hao,we know them to the roots!Even their genes are evil,they belong to their father Satan.Tuache mkuu,nisije nikafunua mengine ya sirini.Tunawajua hao.
 
Tanzania hakuna tunachowadai Accacia hizo tume ni ujanja wa vibaka wa fisiem waweze kupitisha bajeti yao hewa...!
Huyo anayetudanganys mchana na usiku hata kiingereza cha kuongea na hao Barrick hana.
Wajinga Ndio waliwao na wameshaliwa kiukweli.
Bunge la vilaza watupu wanaacha kujadili bajeti wanadai"kifunga uchumba"na mwendawazimu anyeendesha vikao anachekelea tu upumbavu kujadiliwa mjengoni.
Vichaa na Wagonjwa wamejazana pale ndani wanakula tu kodi ZETU.
 
Yaani pesa wale viongozi wa Ccm kwa njaa na uroho wao halafu Acacia wabebe mzigo wote?Hakuna kitu kama hicho, hili litapita kama lilivyopita la Bashite!
Rais hapati chochote hapo maana hata kamati yenyewe imefanya kazi kwa kujipendekeza pendekeza na kukomoana.Magu kama ana uchungu ni nchi alete mikataba ya bara bara,uuzaji wa nyumba, vyeti vya Bashite nk.Akimaliza hapo ndio twende kwenye madini ambayo chama chake kilipitisha mikataba yote.Asitutafutie migogoro ya watu ambao chama chake iliwapa maeneo ya kuchimba kwa mbwe mbwe nyingi.

Kweli kuwa mpinzani ni kazi nzito sana....hapa wakati unaandika Inaonekana kama ulikuwa umepoteza KOKI YA MASABURI
 
Back
Top Bottom