Acacia walitoa notisi ya kutudai trilioni 5. Je imefutwa au tutapewa bilioni 700 na Acacia watatudai trilioni 5?!

Ripoti ya ACACIA ya juzi Tar 20 Oktoba 2017 wamesema Bulyanhulu na Pangea Minerals KILA MMOJA amefungua mashtaka ili kutetea maslahi na haki yake kwa mujibu wa dispute resolution process zilizokubaliwa na wao na Gov ya Tz. Wameomba TRA wawape "mkokotoo" walioutumia "kuwabambikizia deni la trilions" lakin report inasema mpaka sasa hawajapatiwa. Hakuna namna. Tisubiri wito mahakama ya kimataifa, Lissu alisema.
View attachment 613946
Yaani hawa jamaa wanatembea barabara mbili kwa mpigo ya mazungumzo kupitia Barick na ya kesi kupitia Mahakama za Nje. Inabidi tuwakabili na sisi tuwe tayari. Tahadhari ya TL tusi ipuuze, tuwe tayari kwa lolote.
 
Na upuuzi wetu ndo unaanya mwisho wa siku wanakamata mali zetu sisi huku tunabaki tunawindana eti kwa usaliti badala ya kutumia akili
 
Yaani hawa jamaa wanatembea barabara mbili kwa mpigo ya mazungumzo kupitia Barick na ya kesi kupitia Mahakama za Nje. Inabidi tuwakabili na sisi tuwe tayari. Tahadhari ya TL tusi ipuuze, tuwe tayari kwa lolote.
Jamaa hapo wametumia plan moja tu,nadhani wana plani zaidi ya kumi za kutumaliza
 
Huyo kilema kashaapoteza kilichobaki Dj kumla na mkewe watifuane vyema maana huko kunduchi bahar imelala dorooooo....apige debe kwa nguvu ipi tena

Wewe pia ni Kilema Kyauharo N soon you will be kilema completely.Yakikukuta usisite kuja kutuambia humu JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom