Acacia walitoa notisi ya kutudai trilioni 5. Je imefutwa au tutapewa bilioni 700 na Acacia watatudai trilioni 5?!

papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
842
1,475
Acacia walitoa notisi ya kutupeleka mahakama ya kimataifa wakitudai trilioni tano.

Hakuna taarifa kwamba notisi hiyo imeathiriwa na mazungumzo ya Barrick ambayo Acacia ni kama hawayatambui(unamdai Juma, huongei naye, unaongea na Masanja, halafu uliyoongea na Masanja unataka Juma ayatimize)

Je Barrick watatupa bilioni 700 halafu kwa mlango wa nyuma wanavuta trilioni tano kupitia Acacia?
 
lissu ataongea soon, nasubiri picha lingine kabla/baada ya lissu kuongea
 
Majamaa ya Barrick yamenyonya our strength and weaknesses ,yanaenda kuwagawia Acacia ili wakifungua kesi watulime vilivyo
Haya yote chanzo ni CCM hawapo serious kwa maslahi ya nchi hii wanajali matumbo yao na kuiacha Tanzania empty
 
Ripoti ya ACACIA ya juzi Tar 20 Oktoba 2017 wamesema Bulyanhulu na Pangea Minerals KILA MMOJA amefungua mashtaka ili kutetea maslahi na haki yake kwa mujibu wa dispute resolution process zilizokubaliwa na wao na Gov ya Tz. Wameomba TRA wawape "mkokotoo" walioutumia "kuwabambikizia deni la trilions" lakin report inasema mpaka sasa hawajapatiwa. Hakuna namna. Tisubiri wito mahakama ya kimataifa, Lissu alisema.
20171021_194901.png
 
Nachosktika tu n kushuka kwa thaman ya Magari yetu tuliyoahidiwa, kutoka NOAH hadi BALIMI SABA tu tena za moto...
 
Ripoti ya ACACIA ya juzi Tar 20 Oktoba 2017 wamesema Bulyanhulu na Pangea Minerals KILA MMOJA amefungua mashtaka ili kutetea maslahi na haki yake kwa mujibu wa dispute resolution process zilizokubaliwa na wao na Gov ya Tz. Wameomba TRA wawape "mkokotoo" walioutumia "kuwabambikizia deni la trilions" lakin report inasema mpaka sasa hawajapatiwa. Hakuna namna. Tisubiri wito mahakama ya kimataifa, Lissu alisema.
View attachment 613946
Hizo habari ile misukule ya Lumumba kila kitu wao ndio hutawaona wao wanajali malipo yao ya buku 7
 
lissu ataongea soon, nasubiri picha lingine kabla/baada ya lissu kuongea
Huyo kilema kashaapoteza kilichobaki Dj kumla na mkewe watifuane vyema maana huko kunduchi bahar imelala dorooooo....apige debe kwa nguvu ipi tena
 
AFRICA OR MY AFRICA yani hawa wazungu sio watu waruzi ata kidogo maana wanakuacha unajiusha rusha mwishoni wanaona mapungufu yako hapo ndo mwiaho wanakuchinjia make
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom