kwenye taarifa sahihi ni hapa hizo zingine za kufunga au kutaka kufunga ni hadithi za kufikiria..Pamoja na kuyasema hayo, Mkurugenzi wa ACACIA, Brad Gordon amesisitiza kuwa majadiliano ya Barrick Gold na Serikali ya Tanzania yatawashangaza wengi kwa sababu ana matumaini makubwa pande zote mbili zitakubaliana kutokana na ukweli kuwa kila upande una mengi ya kupoteza kama hawatakubaliana kwa kupitia meza ya majadiliano.
Hata hivyo anasikitika kwa kampuni yake ya ACACIA kuachwa kuingizwa kwenye mazungumzo na anadai kama pande mbili zitakuwa hazijakubaliana kufikia septemba inawabidi wafunge mgodi na kusubiri hatma ya majadiliano ili kupunguza mrundikano wa makanikia na gharama za utunzaji.
.....lako umeliziba ?Sema wakuachie tu "shimo" lako, uone ni jinsi gani utaliziba.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Pamoja na kuyasema hayo, Mkurugenzi wa ACACIA, Brad Gordon amesisitiza kuwa majadiliano ya Barrick Gold na Serikali ya Tanzania yatawashangaza wengi kwa sababu ana matumaini makubwa pande zote mbili zitakubaliana kutokana na ukweli kuwa kila upande una mengi ya kupoteza kama hawatakubaliana kwa kupitia meza ya majadiliano.
Hata hivyo anasikitika kwa kampuni yake ya ACACIA kuachwa kuingizwa kwenye mazungumzo na anadai kama pande mbili zitakuwa hazijakubaliana kufikia septemba inawabidi wafunge mgodi na kusubiri hatma ya majadiliano ili kupunguza mrundikano wa makanikia na gharama za utunzaji.
Ieleweke kuwa majadiliano yatahusu Barrick Gold na Serikali ya Tanzania kwa sababu Barrick Gold ndiye mwenye hisa nyingi.
Matokeo ya Ijumaa yameonyesha kuwa mapato kwa miezi sita yameshuka mpaka $176 milioni kutoka $318 mwanzoni mwa mwaka kwa sababu hawawezi kuuza makanikia yenye ounces 127,000 za dhahabu na unga.
Kwa muda wa miezi sita mpaka Juni, mapato yameshuka kwa asilimia 22 na kuwa $391.7 milioni wakati faida kabla ya kodi ilishuka kwa asilimia 2 na kuwa $99.5 milioni.
Hisa zimeendelea kudondoka na kuanzia Machi hisa za ACACIA zimedondoka kwa asilimia 50 na bei ya kampuni kwa sasa iko chini ya £1 bilioni.
Kwa wale mnaojua kiingereza mnaweza kusoma zaidi;
Source: Financial Times Newspaper.
Mkuu kama tuliambiwa kwamba wamekubali kulipa, kumbe walikubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo, sasa hapo unategemea sarakasi zitaisha? Baada ya mkwara wa kuwatimua usishangae tukaambiwa tena hawatatimuliwa kwa sababu walienda kuomba msamaha. Na kwa kuwa sisi ni watu wastaarabu sana hasa kwa hawa wezi wa kizungu basi tumeamua tu kuwasamehe.Aiseee haya bana hivi si walisema mazungumzo yanaanza sijui kesho kutwa... kumbe hiyo kesho kutwa haijafika hadi leo
Mmh! Sina uhakika kama ni kweli, maana huyo nyani anaendelea kula mahindi huku akikuachia mabua.
Mkuu waache madini au mashimokulu alisema jana wakichelewa kuja kwenye mazungumzo tutafunga mgodi. acacia nae jana hiyo walisema september bila makubaliano tunafunga mgodi. sasa ngoma inanoga hapa. watuachie tu madini yetu hamna namna