maharage ya nazi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 344
- 229
Hawa wazungu walikuwa wajanja sana barrick gold hawa ndio walikuwa wamiliki wa kwanza halafu wakamuuzia acacia ambao ndio hao hao barrick(wenye 67% hisa kwa makaratasi) wakati wakikwepa kodi ya serikali kwa jina la acacia. Mzee Magu kawashikia pabaya naona uhalisia ukatoka vizuri barrick akitaka kuwa msuluhishi....hahaha inaonekana ndio hao hao wamiliki wa acacia.
Safi sana Magu hapo umewaweza. Wasituchanganye na makampuni mengi mara acacia mara barrick. Hiyo yote ni kampuni moja tu barrick gold.
Safi sana Magu hapo umewaweza. Wasituchanganye na makampuni mengi mara acacia mara barrick. Hiyo yote ni kampuni moja tu barrick gold.