Acacia rises after miner rules out imminent increase in provision for Tanzanian deal

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Acacia Mining shares rose 4.6 per cent on Thursday morning, after the gold producer said it did not intend to increase a provision relating to its dispute with the government in Tanzania following an announcement from its majority shareholder that it was raising the level of its own provision by $172m.

Last week Acacia’s owner Barrick Gold said it had reached an agreement with the government of Tanzania to end a dispute over Acacia’s mines in the country, which have been unable to export since March. The deal involved Acacia paying $300m to the Tanzanian government as a “good faith” payment.

Earlier this year, Tanzania accused Acacia of owing $193bn in tax and unpaid penalties to the East African country.

In Barrick’s third quarter earnings on Wednesday, the Canadian company said it increased its existing tax provision of $128m by $172m in the third quarter to allow for the $300m payment to the Tanzanian government from Acacia. The $300m payment will be paid out of Acacia’s ongoing cash flows and is conditional on it being able to sell gold, Barrick said.

But Acacia said Thursday it has still not received a detailed proposal from Barrick on the deal and could not set a tax provision for the $300m payment. Its provision remains at $128m.

“Once Acacia has received and had the opportunity to assess a detailed proposal, Acacia will also be able to assess the potential impact on Acacia’s historical uncertain tax provisions,” Acacia said. Barrick said it expects to give Acacia a detailed proposal during the first half of 2018. It is subject to review and approval from Acacia.

Source: Financial Times
Link: Subscribe to read

My Take: Inawezekana Serikali inachezewa cheusi chekundu!
Acacia Q3 results report to the shareholders was due on 20th October na share price za Acacia zilikuwa zina trade at 182p. Kutokana na press conference ya makubaliano ya Barrick na Serikali tarehe 19th October, share price za Acacia ziliongezeka kwa 30p mpaka 212p ndani ya masaa machache.
Acacia walipotoa Q3 results report siku inayofuatia, 20th October ambayo ilionyesha mapato yao yameshuka. Share price ilishuka mpaka 194p. Ili ni ongezeko la 12p nabla ya press conference na Acacia report.

Hapa ndio nimeona serikali imechezewa: Acacia kama wangetoa Q3 result report bila ile press conference ya agreement kati ya serikali na Barrick. Share price za Acacia zingeshuka kwa asilimia kubwa. Ingeweza hata ku set new record ya "52 week low" ambayo sasa hivi ni 152p.

Kwa mtazamo ili press conference ya Acacia ilisaidia ku stabilise share price za Acacia.

Sasa Iko kiunzi kimesharukwa. Now, Kwenye trading report ya Barrick this week wameandika wata provide further details to Acacia during the first half 2018. Acacia Q4 report ni 25th January 2018 kama sijakosea.
Hii delay tactic ni kuongeza political pressure na kuiweka serikali rehani. Naomba Magufuli alione ilo na awakomalie!!
Serikali wakikubali kuachia yale Makontena. Sitashaanga Acacia in 2018 wasema shareholders wamekataa na wanaenda Mahakamani.
 
Hayo mambo ni yanaleta kizungu zungu sana hata hujui mwisho lini! Vihela vyenyewe vidogo ila daaa mzungu shenzi sana
 
Serikali, ikataze kabisa usafirishaji wa mchanga kwenda nje ya nchi. Hivi, mashimo yatazibwa na nini baada ya mgodi kuisha madini!?

Serikali, ingekomaa hadi mwisho wazungu koko walete mitambo ya kuchenjua makinikia apa hapa Tanzania.

Any way, busara hadi sasa hivi inahitajika.

Tena, serikali watambue kuwa wazungu koko ni jamii tapeli sana na wanafiki. Hawako honest kabisa, usishangae baada miezi 2 hadi 4 ukasikia kesi iko mahakamni wanatushitaki.

Na changamoto tuliyonayo hadi sasa ni kwamba tumewapatia madai yetu yote kwenye majadiliano ya miezi zaidi ya miwili hivyo, wanajua kila namna ya kupindua pindua madai yetu au wanaenda kukaa na kutafuta namna ya kubadilisha madai yetu.

Japo, serikali hatua hizi inazozichukua ni za muhimu sana kwa wakati huu na awamu hii.
 
JPM Wanatuchezea hawa wanajuana na wanachofanya wanakijua kuwa makini Rais wangu
 
Acacia Mining shares rose 4.6 per cent on Thursday morning, after the gold producer said it did not intend to increase a provision relating to its dispute with the government in Tanzania following an announcement from its majority shareholder that it was raising the level of its own provision by $172m.

Last week Acacia’s owner Barrick Gold said it had reached an agreement with the government of Tanzania to end a dispute over Acacia’s mines in the country, which have been unable to export since March. The deal involved Acacia paying $300m to the Tanzanian government as a “good faith” payment.

Earlier this year, Tanzania accused Acacia of owing $193bn in tax and unpaid penalties to the East African country.

In Barrick’s third quarter earnings on Wednesday, the Canadian company said it increased its existing tax provision of $128m by $172m in the third quarter to allow for the $300m payment to the Tanzanian government from Acacia. The $300m payment will be paid out of Acacia’s ongoing cash flows and is conditional on it being able to sell gold, Barrick said.

But Acacia said Thursday it has still not received a detailed proposal from Barrick on the deal and could not set a tax provision for the $300m payment. Its provision remains at $128m.

“Once Acacia has received and had the opportunity to assess a detailed proposal, Acacia will also be able to assess the potential impact on Acacia’s historical uncertain tax provisions,” Acacia said. Barrick said it expects to give Acacia a detailed proposal during the first half of 2018. It is subject to review and approval from Acacia.

Source: Financial Times
Link: Subscribe to read

My Take: Inawezekana Serikali inachezewa cheusi chekundu!
Acacia Q3 results report to the shareholders was due on 20th October na share price za Acacia zilikuwa zina trade at 182p. Kutokana na press conference ya makubaliano ya Barrick na Serikali tarehe 19th October, share price za Acacia ziliongezeka kwa 30p mpaka 212p ndani ya masaa machache.
Acacia walipotoa Q3 results report siku inayofuatia, 20th October ambayo ilionyesha mapato yao yameshuka. Share price ilishuka mpaka 194p. Ili ni ongezeko la 12p nabla ya press conference na Acacia report.

Hapa ndio nimeona serikali imechezewa: Acacia kama wangetoa Q3 result report bila ile press conference ya agreement kati ya serikali na Barrick. Share price za Acacia zingeshuka kwa asilimia kubwa. Ingeweza hata ku set new record ya "52 week low" ambayo sasa hivi ni 152p.

Kwa mtazamo ili press conference ya Acacia ilisaidia ku stabilise share price za Acacia.

Sasa Aiko kiunzi kimesharukwa. Barrick watawapa Acacia more details

Sasa Iko kiunzi kimesharukwa. Now, Kwenye trading report ya Barrick this week wameandika wata provide further details to Acacia during the first half 2018. Acacia Q4 report ni 25th January 2018.
Serikali wakikubali kuachia yale Makontena. Sitashaanga Acacia in 2018 wasema shareholders wamekataa na wanaenda Mahakamani.

Tuseme tushindwe kila kitu, acacia wachukuwe kila kitu na wavune rasilimali zetu watakavyo bila kulipa chochote wewe utafaidika nini? Au kama wewe labda unafaidika na huo wizi basi wafikirie angalau watakaokuja kuishi hii nchi baadaye!
 
Serikali, ikataze kabisa usafirishaji wa mchanga kwenda nje ya nchi. Hivi, mashimo yatazibwa na nini baada ya mgodi kuisha madini!?

Labda waliambiwa wakazi wa migodini wanapenda sana kucheza kombolela..........
 
Haaaa haaaa haaa haaaa haaa, Hamna namna ngoja tu nicheke kisha nikupe like.

Labda ni kweli maana, siyo kwa mahandaki hayo yaliyoachwa na yatakayoachwa wazi.
 
haya mazungu koko yalitakiwa yafukuzwe kabisa nchini. hizi dharau mbona hawazifanyi kwenye nchi zao huko za ulaya au china
 
Acacia Mining shares rose 4.6 per cent on Thursday morning, after the gold producer said it did not intend to increase a provision relating to its dispute with the government in Tanzania following an announcement from its majority shareholder that it was raising the level of its own provision by $172m.

Last week Acacia’s owner Barrick Gold said it had reached an agreement with the government of Tanzania to end a dispute over Acacia’s mines in the country, which have been unable to export since March. The deal involved Acacia paying $300m to the Tanzanian government as a “good faith” payment.

Earlier this year, Tanzania accused Acacia of owing $193bn in tax and unpaid penalties to the East African country.

In Barrick’s third quarter earnings on Wednesday, the Canadian company said it increased its existing tax provision of $128m by $172m in the third quarter to allow for the $300m payment to the Tanzanian government from Acacia. The $300m payment will be paid out of Acacia’s ongoing cash flows and is conditional on it being able to sell gold, Barrick said.

But Acacia said Thursday it has still not received a detailed proposal from Barrick on the deal and could not set a tax provision for the $300m payment. Its provision remains at $128m.

“Once Acacia has received and had the opportunity to assess a detailed proposal, Acacia will also be able to assess the potential impact on Acacia’s historical uncertain tax provisions,” Acacia said. Barrick said it expects to give Acacia a detailed proposal during the first half of 2018. It is subject to review and approval from Acacia.

Source: Financial Times
Link: Subscribe to read

My Take: Inawezekana Serikali inachezewa cheusi chekundu!
Acacia Q3 results report to the shareholders was due on 20th October na share price za Acacia zilikuwa zina trade at 182p. Kutokana na press conference ya makubaliano ya Barrick na Serikali tarehe 19th October, share price za Acacia ziliongezeka kwa 30p mpaka 212p ndani ya masaa machache.
Acacia walipotoa Q3 results report siku inayofuatia, 20th October ambayo ilionyesha mapato yao yameshuka. Share price ilishuka mpaka 194p. Ili ni ongezeko la 12p nabla ya press conference na Acacia report.

Hapa ndio nimeona serikali imechezewa: Acacia kama wangetoa Q3 result report bila ile press conference ya agreement kati ya serikali na Barrick. Share price za Acacia zingeshuka kwa asilimia kubwa. Ingeweza hata ku set new record ya "52 week low" ambayo sasa hivi ni 152p.

Kwa mtazamo ili press conference ya Acacia ilisaidia ku stabilise share price za Acacia.

Sasa Aiko kiunzi kimesharukwa. Barrick watawapa Acacia more details

Sasa Iko kiunzi kimesharukwa. Now, Kwenye trading report ya Barrick this week wameandika wata provide further details to Acacia during the first half 2018. Acacia Q4 report ni 25th January 2018.
Serikali wakikubali kuachia yale Makontena. Sitashaanga Acacia in 2018 wasema shareholders wamekataa na wanaenda Mahakamani.
Just go hunting, if you are fully skilled. Some animals may put hunters at risk!! Sizonje na timu yake ya makinikia akina Kibudu hawana uzoefu wa kupambana na mapepari hata kwa nusu hatua!
 
Ahsante sana kwa hii observation and alert . Kwa kuwa serikali yetu ni makini, naamini wanajua cha kufanya kwa sababu haya mambo si ya kuishia mezani tu bali yanahitaji ufuatiliaji wa karibu.
 
Tuseme tushindwe kila kitu, acacia wachukuwe kila kitu na wavune rasilimali zetu watakavyo bila kulipa chochote wewe utafaidika nini? Au kama wewe labda unafaidika na huo wizi basi wafikirie angalau watakaokuja kuishi hii nchi baadaye!
Mkuu,
Ujanisoma kabisa. Mimi si washabikii haya makampuni tena yanatuvuruga. Hii delay ni kuongeza political pressure na kuiweka serikali rehani.

Mimi Acacia wangeondoka nchi au kufukuzwa kama inawezeka ningefurahi.
 
Just go hunting, if you are fully skilled. Some animals may put hunters at risk!! Sizonje na timu yake ya makinikia akina Kibudu hawana uzoefu wa kupambana na mapepari hata kwa nusu hatua!
Mimi nawalaumu wana nchi kwa kushabikia hawa Acacia. Ingekuwa ni Kampuni ya Tanzania imefanya haya United Kingdom. Waingereza wangeunga na kuakikisha tunachukuliwa hatua.
 
Ni hatua gani unadhani wananchi wanapaswa kuungana na kuchukua ambazo serikali imeshindwa?
 
Barrick/Acacia are using clever hunting tricks in the game... their experience to avoid the glare of the shark was an easier way to learn the behavior of the hunter. Thus, since the hunted (Acacia) learned how to hunt the hunter (The Bulldozer/ Sizonje) the game of hunting was no more. Only GTs will understand this!
 
Mimi nawalaumu wana nchi kwa kushabikia hawa Acacia. Ingekuwa ni Kampuni ya Tanzania imefanya haya United Kingdom. Waingereza wangeunga na kuakikisha tunachukuliwa hatua.
Kama wakati hawa wanaletwa as wawekezaji hawa wananchi walipigwa na kuhamishwa kwenye maeneo yao tena wengine waliuwawa kwa kufukiwa kwenye kifusi unadhani kwa sasa watafanya nini zaidi ya kuwa watizamaji?? Makosa wafanye wengine lawama muwape wananchi?
 
Back
Top Bottom