Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,954
- 2,439
Mkuu kwani shida ipo wapi? Tz imefanga uchunguzi wake imegundua hivyo. Je wakirudia kufanya uchunguzi tz pamoja na hao wachambi madini halafu matokeo ya kaja kama ya uchunguzi wa awali, what will happen?Maamuzi mengine yana madhara makubwa, bora kuwa na subira na kufuata taratibu stahiki. Hapa ICC inaisubiri tanzania. kodi zetu zinasubiriwa