ACACIA, je pale CMA au Labour Court ilishitakiwa na wafanyakazi kwa kutumia jina gani?

Mdanganywa

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
584
250
Kampuni za madini hushitakiwa kwa madhara ya mionzi na kufukuza wafanyakazi.

Kuna tetesi kwamba kuna wafanyakazi wa kampuni mja ya madini walipata madhara ya mionzi ya madini na kampuni imeamua kuwapa huduma ya kukaa hotelini wanalipwa ili wasiende kushitaki.

Je, ACACIA haijawahi kupata kesi ya waajiriwa kuishitaki? Je, huko CMA au Mahakama ya Kazi (Labour Court) ilishtakiwa kwa jina gani?

Maana kama haijasajiliwa hapa nchini ni wazi kwamba ACAIA walikuwa wanafanya kila mbinu ili wasishatkiwe kwenye mahakama yoyote humu nchini kwa jambo lolote kwani mahakama ingetupilia mbali hiyo kesi kwa msingi kwamba hiyo kampuni haijasajiriwa na haina "legal personality".

MWageni data wakuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom