ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

View attachment 523919 haya sasa,Barrick wamekanusha kufikia makubaliano ya kuilipa Tanzania japo wameongea na Rais
Watu mbona wanashindwa hata kuelewa lugha yao? Ripoti ya Ikulu imesema Mwenyekiti wa Barick amekubali kuanza mazungumzo ambayo yatakuwa na lengo la kufikia muafaka kwa pande zote mbili. Nowhere does it say they will start paying!! They will initiate negotiations (which is normal in any business) with the objective of arriving at a solution acceptable to both. Someni vizuri kabla hamjaanza kushambulia.
 
Makubaliano waliyofikia ni kuwa na mazungumzo na Serikali na "kama" kuna fedha itathibitika hazijalipwa kama kodi ama hazijatolewa kama mrabaha basi zitalipwa. Hakuna mahali pamesemwa hata na taarifa ile ya Ikulu kwamba watalipa zile fedha zote zilizotajwa kwenye taarifa ya zile tume mbili za Rais.
Mkuu, kuna watu wanapenda mijadala tena ya kukosoa lakini hawana uwezo wa kiakili kung'amua mambo wanayoyajadili.Hakuna pahala taarifa ya Ikulu ilisema Acacia watailipa Tanzania hela anazoidai.
 
Kuna mtu alitaka kujua tunalipwa kiasi gani, tena aelezwe in Tsh. manake mambo Us $ magumu. Na akaenda mbali zaidi akihoji "aise, mi ntapata bei gani kweli?
 
Tumeshaliwa kichwa hatuna chetu tena!

Ni muda wa kuganga yajayo sasa...
 
Magufuli amesema Barrick wamekubali kuwa watailipa sitahiki yake baada ya kupitia kile kilichomo na kujiridhisha. Taarifa ya ACACIA iko sawa, sasa mleta Mada cjui unataka nini?

Wamesema wapi? If its not written didint happen, watoe maandishi na waseme watalipa lini kiasi gani, mbona unakua kama sio msomi
 
Basi mnapeeenda kusikia habari kama hizi za nchi yetu kuendelea kuhujumiwa nyie Machadema! Jitahidini kufurahia mabepari na kuwashangilia muone 2020 mtavuna nini.
Hawa jamaa watu wa ajabu sana,, hakika kamwe hawa watu sio wakupewa nchi waitawale never ever
 
View attachment 523919 haya sasa,Barrick wamekanusha kufikia makubaliano ya kuilipa Tanzania japo wameongea na Rais
Mkuu hebu nisaidie hii ni barua au tangazo mbona hata haionyeshi imetolewa na nani?? Au ni mambo ya mitandao? Ninachojua aliyeongea na Raisi ni Chairman wa Barrick ambao ndiyo wana share kubwa sasa mbona tangazo/barua ni ya Acacia? Ambaye ni Kampuni ndogo ndani ya Barrick??
 
Wabongo wanapenda sana kupewa matumaini na kulishwa maneno. Mim nimemsikiliza rais halafu nikamsikiliza mwenyekiti wa Barrick. Rais anazungumzia fidia, mwenyekiti anazungumzia kutafuta muafaka. Hapo ndipo machale yalinicheza hata kabla hiyo taarifa ya acacia haijatolewa.

Nina uhakika Barrick watatumia kila njia kukwepa kulipa hiyo inayoitwa fidia.Tujifunze kufuatilia mambo kwa undani.
 
Mleta uzi acha ufala...!!! Usifikili na ss ni wajinga km ww kwn Nani kasema Tz imelipwa. Wapo kwny negotiation kulipana baadae. Yan warundi na wakongomani wa humu JF wanatuonea sana tamaa cc wa Tz kulipwa hizo noti. Achen Roho mbaya mtakufa mapema....! Hahahaaaaaaaaa.! Hiihiiiiii....!!! Lowassa mwenyewe kamkubali Magu nyie vilaza kazi kutupigia mboyoyo mingi huku.....!!!
 
Sasa umeandika nini hiki ambacho umeshindwa kukisoma? mbona Rais amesema wazi kuwa Barrick wako tayari kulipa baada ya mazungumzo ya pande zote. Nyie si mlisema tutashitakiwa....
mkuu, litakuwa ni tatizo la lugha gongana...

rais kasema vyake, wao wamesema vyao. kiingreza ni shiiida mkuu!
 
Tatizo la MH Pogba lugha haipandi Kwahiyo kilichoongelewa hakukielewa kbs lugha si mchezo kuanzia yule mpuuzi wa ikulu msigwa n barua yake ya kufungia chapati
teh teh
aiseeeeeeee
Mwizi anakaribishwa ikulu, tena na msosi anakula.
Ilifaa atolee mazungumzo kwenye kituo cha polisiccm.
Hii issue ishaisha, chezea mzungu ww. Akianza hello my friend! Hapo unatafuta neno gani la kumjibu huku unajiuliza kimoyo moyo sijui atatumia misamiati migumu. Unaomba muda ufike mazungumzo yamalizika.
Have a nice night mr
 
Makubaliano waliyofikia ni kuwa na mazungumzo na Serikali na "kama" kuna fedha itathibitika hazijalipwa kama kodi ama hazijatolewa kama mrabaha basi zitalipwa. Hakuna mahali pamesemwa hata na taarifa ile ya Ikulu kwamba watalipa zile fedha zote zilizotajwa kwenye taarifa ya zile tume mbili za Rais.
Mkuu ni bora kukaa kimya maana kuna watu wanafuraha sana wakisikia kuwa magufuli anaweza kushindwa wanadhani anatafuta kiki ya urais wakati wanajua kabisa hata wapake namna gani sioni kabisa wa kumfanya ashindwe mwaka 2020 nimeshaweka bet.
 
Katika sheria za kazi suala ya kufikishana mahakamani huja baada ya jitihada za usuluhushi na mazungumzo kushindikana.
 
Back
Top Bottom