Acacia Buzwagi ichunguzwe namna inavyowahudumia Wafanyakazi waliopata ugonjwa wakiwa kazini! Wengi hawapati huduma stahiki

moja wapo ya kampuni kandamizi na yenye kesi nyingi zisizoisha ni hii kampuni ya wapuuzi wachache waliojificha kwenye kivuli cha uwekezaji.kampuni utafikiri inachimba mawese kila mwaka inapunguza wafanyakazi na kuajiri,na wanaoratibu huu upumbavu ni watanzania wachache sana wanaojifanya wamesoma lakini wametanguliza matumbo yao mbele.Wanaolinda vyeo vyao kwa hirizi na hivyo kutokuwa na chembe ya utu ndani mwao.Watu wameshindwa kufuatilia mwenendo wa kesi zao kwa maisha duni,migongo imejaa maji,wameshindwa hata kutoa huduma ya msingi ndani ya ndoa zao.kampuni ya kijinga sana hii na ushenzi wao wa kusafirisha ardhi ya taifa.
 
Back
Top Bottom