AC ya gari yangu nikiiwasha inaleta upepo wamoto

Unapowasha A/C kuna knob kwa ajili ya kuchagua kiwango cha joto ukitakacho (baridi au joto kali) sasa kwa upande wako hiyo knob au selector iko kwenye joto... Hebu badili chaguzi

Kwa wazungu ndiyo wanatumia hiyo kwa sababu kwao muda mwingi kuna baridi sana.
 
Inatakiwakuzunguka mda wote au namna gani? Na je ina uhusiano na thermostat?
Ukiwasha AC Fan za Radiator inatakiwa Izime na Kujiwasha tifauti na ile kujiwasha ya Kawaida ya Injini.

Kwenye hilo kaangalia kama Gas ipo kwenye Condesor pia Kama kuna Likage zile Pipe watakuchekia.
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
Refregerant imeisha, Kajaze. Peleka radiator kwa fundi ikaoshwe. Tumia coolant badala ya maji kwenye radiator
 
1631212445463.png

  • huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
  • hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
  • kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
  • jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
  • bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
 
Knob iko wenye baridi
Unapowasha A/C kuna knob kwa ajili ya kuchagua kiwango cha joto ukitakacho (baridi au joto kali) sasa kwa upande wako hiyo knob au selector iko kwenye joto... Hebu badili chaguzi

Kwa wazungu ndiyo wanatumia hiyo kwa sababu kwao muda mwingi kuna baridi sana.
 
Ni nissan xtrail nt31 2009
View attachment 1931002

Kwa mwandiko ule hawezi kumiliki Mandolini "109" huyu atakua mlamba lips tu
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
Kwanza natamani nikulambe kofi moja la shavu sababu ya kuwa kilaza.
Ni nani ambaye amekuambia dawa ya gari inayochemsha ni kutoa Thermostat?!

Thermostat ni kifaa muhimu sana katika cooling system ya gari yoyote ile.

Sasa unapotoa unaleta mazingira ya matatizo makubwa sana hapo baadae.

Kuhusu swala la AC nina wasi wasi umewasha heater badala ya AC.
 
Unapowasha A/C kuna knob kwa ajili ya kuchagua kiwango cha joto ukitakacho (baridi au joto kali) sasa kwa upande wako hiyo knob au selector iko kwenye joto... Hebu badili chaguzi

Kwa wazungu ndiyo wanatumia hiyo kwa sababu kwao muda mwingi kuna baridi sana.
Ndugu haujawahi kaa mbeya au Iringa nini uone matumizi ya hizo option hadi unasema wanatumia wazungu tu?!
 
View attachment 1931002
  • huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
  • hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
  • kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
  • jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
  • bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
Acha kumshauri vibaya mwenzako hilo eneo la thermostat. Hicho kifaa huwa hakitakiwi kutolewa unless kikiharibika kinatakiwa kubadilishwa.

Kazi yake ni very nyeti ..... Hautakiwi kumshauri mtu kutoa Thermostat kwenye gari yake na inafanya kazi sawa sawa.
 
Ndugu haujawahi kaa mbeya au Iringa nini uone matumizi ya hizo option hadi unasema wanatumia wazungu tu?!
Sijawahi fika Mbeya wala Iringa lakini huwa nasikia kuna baridi...

Ila kwa wale watu weupe huwa inafikia hatua ya snow kabisa so Mbeya hawafui dafu na utakuta mpaka seat ya gari imewekewa HVAC system
 
Dah basi kama hautaweza kwenda kipindi hiki jipange mwakani miezi ya kuanzia wa sita uende mkoani mbeya, iringa au maeneo ya Makete, Mafinga halafu uone matumizi ya hiyo kitu.

Hautataka kushuka kwenye gari.
 
Inatakiwakuzunguka mda wote au namna gani? Na je ina uhusiano na thermostat?

hazina uhusian cooling fan inahusika na mfumo wa kupooza engine pamoja heater system ila mfumo wa AC unajitegema kivyake kabisa na hapo matatizo yapo katika ya sehemu mbili tu yaani uvujaji wa refrigerant au compressor problem au mfumo wa umeme kwa ujumla ila ilo tatizo alihusiani na kuchemsha kwa engine
hivyo sidhani kama umeibiwa labda ni tatizo la kawaid tuu boss
 
Back
Top Bottom