Absalom Kibanda amnanga Tundu Lissu, asema Zitto amechezewa mchezo mchafu

Status
Not open for further replies.

kitambiheshima

JF-Expert Member
May 27, 2013
452
116
Katika ukurasa wake wa facebook Absalom Kibanda ameandika, namnukuu "NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema!!?? Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani"


My take; Kibanda nae anastahili kulaumiwa kwa kuyafumbia macho maovu ya chadema hapo mwanzoni kwakuwa tu alikuwa ananufaika na mfumo wa kifedhuli wa Mbwe......ha na katibu wake mafia wa "Rosse Brigate" Dr sinaraha. Ninaamini Kibanda anajua mengi kuhusu umafia ndani ya cdm na sasa anaishia kusikitika tu. Hayo ndo madhara ya kutojitambua mapema. Lakini afadhali ya Kibanda kwa kuwa yeye ni msuuuk....le uliojitambua!
 
Malipo ya punda ni mateka. Alimtetea Mbowe pamoja na kwamba ndio alipanga maovu ya kupigwa kwakupokea briefcase hakujua mambo yaturn upset down.
 
Kibanda si ndo huyu aling'olewa meno kucha na jicho ? Kumbe maskini hajui hata wabaya wake.
 
kibanda ni mnafiki na hawezi kujiita mzalendo,leo anampinga mbowe wakati yeye kwa mikono yake ameshiriki kummaliza zito kabwe wakati akiwa tanzania daima?huyu ni mchumia tumbo,leo anamtumikia lowasa na rostam..rejeeni walaka wa kibanda wenye kichwa cha habari[NALIONA ANGUKO LA ZITO KABWE]
 
Waandishi makanjanja wa hapa bongoland.atakuwa kanusa harufu ya ankra za ujeremani
 
Chadema italaaniwa milele na milele

Utalaaniwa wewe unayetetea wezi,wauza unga,mafisadi,wabakaji na majangili ili uweze kushibisha tumbo tu.unashabikia dhuruma kwa maskini wengi wa taifa hili wanaodhurumiwa haki zao na mafisadi wa ccm,hakika kuna siku utalia kilio cha kusaga meno ASEMA BWANA WA MAJESHI.AMEN
 
Kibanda kwanza alitakiwa aseme ni nini
chanzo cha kuvamiwa na wale sijui
majambazi,hawa watu wenye nafasi ni kero.


ZZK
Alisema atawataja kwa majina watu wenye
pesa Uswis lakini mpaka sasa kimya,mbaya
anasema mpaka kikao cha Bunge

Kusema kama ushahidi upo hakuhitaji Bunge.

KIBANDA
Alituaminisha kuwa mara afya yake itakapo
nawiri baada ya kuzorota kutokana na kipigo
angewasema wote walumtendea ufedhuri ule

Kibaya na cha ajabu mpaka leo kawa kimya
kana kwamba hajawahi kuumizwa sana
kiasi kwamba angeweza kupoteza maisha

ULIMBOKA
Nae ni vile vile tu.


Sasa kuhusu hili la ZZK bora angekaa kimya.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom