secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,609
ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank, badala ya kuendekeza makesi yasiyo na kichwa wala miguu nawashauri lipeni watu stahili zao.
Unazijua terms za makabidhiano yao...?ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank
Zinajulikana vizuri tuUnazijua terms za makabidhiano yao...?