Abrahamovich makes it rain! $47,000 for lunch!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abrahamovich makes it rain! $47,000 for lunch!!

Discussion in 'Sports' started by Kang, Oct 31, 2009.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  For a person of his calibre, hope thats just normal! Take into consideration that he always has a crew of not less than 50 people in his entourage!
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  No wonder kashindwa kupanda Kilimanjaro


  [/SIZE]
  Russian Billionaire Blows $52,000 on Lunch!!!!!!

  Posted Oct 31st 2009 7:34AM by TMZ Staff

  Most people don't make $52,000 in a year -- but Friday afternoon one Russian billionaire dropped that much cash on LUNCH!!!!!

  Russian Billionaire

  TMZ has just obtained the bill handed to Chelsea Football Club owner Roman Abramovich earlier today after lunch at Nello's in New York -- a bill which totaled a ridiculous $47,221.09.

  The check had an automatic gratuity of 20% -- $7,328 -- but we're told the party threw down an extra $5,000, bringing the tip to 26%.

  We're told there were 10 people at the table, who feasted on white truffles, filet mignon and a whole lotta uber-pricey wine.

  This blows Jay-Z out of the water -- who just a few days ago, dropped $1,700 on lunch at the same place.:smh:
  [​IMG]
  Read more: http://www.tmz.com/2009/10/31/russian-billionaire-bill-money-cash-roman-abramovich-chelsea-football-club/#ixzz0VYjp5Wv0
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Nov 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Wewe unashangaa nini hapo?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  teh teh mambo ya hela hayooo.kwake ni vijisenti tu hivyo
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Watu wanaenda club wanateketeza $150,000.00...sembuse hiyo $52,000.00....
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  baelezeee mkuu
   
 8. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kutumia Club $150,000.00 inaingia akilini, Abramovich kila anapokwenda anaeleweka kwa high life style yake, lakini a lunch for $52 grands is a bit over the top.
   
 9. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tumwite awekeze kwenye umeme bongo!
   
 10. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwako wewe ni over the top kwake ni kawaida...mlitaka ale makande na chipsi kuku?
   
 11. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hii ni ballaa!! Ila naona kama vinywaji aliagiza vya chati. Huenda tangu ziwepo hapo Mgahawani hamna mtu aliyethubutu kununua. Vilikungutwa mavumbi kwanza nikifikiri hasa kipindi hiki wanachosema RECESSION
   
 12. Kivuko

  Kivuko Member

  #12
  Nov 1, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Even by US standards 50K is way over the top for lunch.BUT the fact that he wasn't alone makes it peanuts for a billionaire.corporate honchos of companies people like him own,spend way more than that for breakfast.

  seems like people have forgotten the AIG guys,they spent half a mil to have their backs rubbed during a deep recession time.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Wewe unatumia kiasi gani?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Nov 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Don't worry bout it...I'm doin' it B.I.G.
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hicho kiingereza ni cha wapi?
   
 16. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Loh! atapigwa stop na mafisadi kwa sababu wanajua hawataweza kumnunua, wanatafuta wawekezaji njaa ili wapate vijisenti na wao.
   
 17. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Hio lunch ilikuwa imewajumuisha watu kumi na sio ajabu kuona bill ikija kwa iasi hicho. Maana hapo tunazugumzia kuanzia na starters, main course na mwisho dessert. Hata hivyo main course ndio inakuwa ya nguvu na inategemea kila mtu amekula aina gani.

  Kwahio hio bill ni cha mtoto kwa yeye Abramovich.

  Abramovich alianza na kuuza kwenye magenge au viduka akiuza vitu vidogo vidogo na baadae akawa anauza midoli ya watoto na baadae akauza vibata vya kuweka kwenye mabafu.

  Urusi ilipobadilishwa na Gorbachev ambae aliruhusu biashara binafsi, Abramovich tayari alikuwa na akiba benki kiasi cha kuingia katika biashara ya mafuta na mashamba ya mifugo ya nguruwe ambazo ndizo zimekuja kumpatia utajiri alio nao hadi leo wa karibu paundi za Uingereza billioni 11.7.

  Historia ya Abramovich inapatikana katika maeneo mbalimbali zikiwemo tovuti, majarida na magazeti na unaweza kumweka katika kundi la mafisadi na hapohapo kumsifia kwa mazuri anayofanya.

  Abramovich ni gavana au mbunge wa jimbo la Chukotka jimbo lililopo mashariki mwa Russia.

  Yeye si kama walivyo baadhi ya wabunge wa Tanzania ambao husahau majimbo yao, ameendeleza jimbo hilo kwa kujenga mashule, makazi ya wananchi, na kuvuta wawekezaji.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Atakuja kujiletea kwikwi buree. Maana kuna Dowans hapa ndani ya midomo ya watu
   
Loading...