Abortion "Mimba kuharibika"

pol dauda

Senior Member
Sep 21, 2017
127
45
Habari, naomba leo tubadilishane mawazo ya kujenga juu ya hii kitu huenda tukapata source of research. Nina swali juu ya KUHARIBIKA kwa MIMBA saaana swali langu limejikita katika Aina moja tuu ya MIMBA KUHARIBIKA ambayo ni "THREATENED ABORTION" Hii kitu naielewa ila kulingana na maelezo yalivyo lakini binafsi naona Kuna shida,
Tuanze Sasa .........iko ivi..

Tunaposemea ABORTION ni mimba kuharibika Kati ya week 24_28 baada ya kubeba ujauzito, (termination of pregnancy before 24 -28 weeks of gestational ) hivyo bas Kama abortion ni termination of pregnancy kwanini THREATENED iitwe ABORTION ??? Wakati threatened inaweza kutibika na mama akahudumiwa akaendelea na ujauzito wake mpaka kujifungua.

Sasa una iterm vip kwamba ni abortion wakati abortion ni termination of pregnancy halafu hii bado haijawa abortion ila Ina threatening, Mimi nafikiria hii mimba kutishia kutoka isiwekwe Kama Aina za abortion ila ijitenge yaani iwe Kama condition inayojitegemea na ipewe jina zuri kitaalamu litakalobeba maana ya MIMBA inayotishia kutoka ila si kusema abortion moja kwa moja, tunakuwa tunapingana na maana halisi ya abortion.

Karibuni kwa mchango wataalaamu kupashana habari.
 
Mkuu what is spontaneous abortion.?

Ila hata mimi nahisi kuna shida sehemu
 
Mkuu what is spontaneous abortion.?

Ila hata mimi nahisi kuna shida sehemu
Spontaneous abortion ni moja Kati ya Aina kuu za abortion ambayo inaamaana ya kwamba ni abortion ambayo imetokea au inatokea yenyewe tuu bila kuhusisisha medical intervention au surgical ,, yaaani hii ni non induced ambayo pia inaweza ikawa na Aina nyingine zileee , complete, incomplete, enevitable, threatened etc
 
Back
Top Bottom