Abood wamefika pabaya sasa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abood wamefika pabaya sasa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Mar 15, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba nilifikishe kwenu hili.
  Juzi nilikata tiketi ya basi kuelekea Mbeya, mimi sikuwahi kufika huko kabla, pamoja na kutokuwa na uzoefu na gari za Mbeya, sikupata tabu sana, nikafika ofisi za Abood Bus Service kwa kuwa huwa naamini huduma zao ambazo nimekuwa mtumiaji wazo wa mara kwa mara. Nilipati tiketi bila rabsha, tena kwa bei nafuu ya Tsh. 26000, nikarejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya safari ya leo. Leo alfajiri nilipofika Kituo cha Mabasi Ubungo nikaanza kuona viroja: Kwanza, nikakuta watu wakipigia debe usafiri wa Mbeya kwa basi la Abood, kitu ambacho si kawaida kwa kuwa hawa jamaa humaliza tiketi hata kabla ya siku ya safari. Pili, gari niliyoandikiwa sikuiona, nilipouliza nikaelekezwa kwenye gari tofauti na iliyoandikwa kwenye tiketi. Kwanza niligoma kuingia hadi nilipoenda kupata uthibitisho ofisini kwao. Kuingia kwenye hiyo gari, nikaikuta ni mbovu, yaani imechakaa halafu ni 3 kwa 2, na si 2 kwa 2 kama nilivyoelezwa siku ile ofisini kwao. Kilichonishangaza ni suala la kampuni kubwa kama hii, tena yenye kuheshimika katika uwanja wa usafiri kuanza uhuni wa kabila hii. Haya mambo nilizoea kuyaona kwenye mabasi ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Express... Hapa nipo ndani ya gari nasubiri safari ya masaa 13 kwenye gari lisilokidhi mahitaji ya msafiri. Naomba kuwasilisha wadau!
   
 2. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Pole sana.
  Haya ni mambo ya kawaida kwa usafiri wetu.
  Nilikata ticket juzi Ubungo kwa usafiri wa Mtwara kwa bus la MURO na nililipa 20000 nikahidiwa ya kuwa 2 kwa 2 na Yutong.Nikaamini safari itakuwa comfortable;asubuhi nilikuta Scania ya 2 kwa 3.
  La muhimi ni kushukuru kufika salama otherwise ukibishana sana nao unaweza kupata high blood pressure bure!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Pole nawe kaka, mimi kwa mfano, ningefanya lolote kupata usafiri thabiti. Ndio maana mimi hushughulika na kampuni madhubuti. Mf. Dar Express, Abood n.k. Sasa kama hata haya makampuni nayo yameanza uhuni? Mhm.....
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi yale mabasi ya masasi na mtwara yanaitwa akifa na najma bado yapo?
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Akida na Najma bado yapo.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu, safari njema!
   
 7. G

  Gathii Senior Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red ni AKIDA mzee,yeah bado yapo ingawa kuna mabasi mengi sasa tofauti na miaka kadhaa iliyopita.
  Kama ndio nyumbani usisite kurudi mzee,si haba usafiri umeimarika kwa viwango vya kusini lakini.
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mwanangu nimepita sana njia hiyo kipindi kile lami bado na soon nadhani nitaanza kuitumia tena nashukuru kwa masahihisho kumbe ulinielewa ni keyboard errors nimeimic sana masasi!
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na wewe bana kwa nini usichukue chartered flight kama ile iliyombeba mzee wangu AKUKWETI..Mbona cheap tu tena wakati wa kurudi unabeba na magunia ya mchele
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ahsante kaka. Nipo Kibaha sasa... Inshallah nitafika....
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Umesahau WIFINAE....
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kaka hizo ndo standard za kitanganyika kweli au ndo mashauzi ya Muleba?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  waarabu hao,wanavibur na dharau,pole sana!
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Pole mkubwa! Mie nilikutana na longolongo kama hiyo kwa basi la Hood, niliambiwa basi nitakaloondoka nalo ni Marcopolo, lakini kuingia ktk basi asubuhi nakuta ni scania moja chovu sana. Just imagine, nimeondoka Mwanjelwa Mbeya saa 1 asubuhi, naingia Dar saa 5 usiku. Noma sana. Ndo longolongo za mabasi yetu.
  Safari njema
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  jf everywhere. Time to do something now
   
 16. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  The truth is all Abood buses that go beyond Morogoro are not "Abood".
  Kuna ndugu yangu aliwahi kupata kero hii kama 3yrs ago, tangu hapo nilielewa ki2 wafanyacho.
  Kuna uwezekano mkubwa kuwa hayo ni yale yaliyochoka ya Abood na kuuzwa kwa watu wanaoanza hiyo biz, so wanaomba kubakiza majina ili waweze kuuza. Kwakuwa yote huwa ni mabovu na huduma ni poor.
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Jamani pandeni sumri.
   
 18. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu Uhuni huu wa usafiri unakera sana, Siku nyingine panda Sumry tu.
   
 19. m

  marco thomas Member

  #19
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pole mkuu, vumilia utafika, then ukirudi jaribu kuchukua hatua kukomesha utapeli huo kwa kuzingatia haki ya abiria na wajibu wa Mtoa HUDUMA (KAMPUNI) . Please you have to take action.
   
 20. T

  Thegreat Member

  #20
  Mar 15, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni kweli kuna magari yanatumia jina linalofanana na abood lakini si abood. Lakini najua kwamba abood hawana mabasi ya 2x2 kwenda mbeya, kama uliambiwa ndo utapanda ulidanganywa. Kwa mtazamo wangu hatuna kampuni za mabasi zilizo makini, nyingi zinajitahidi katika kugawa soda na pipi tu. Sumry wanajitahidi lakini bado wana mapungufu mengi. Nimewahi kukata tiketi ya Mbeya-Dar gari ya 2x2 nikajikuta nasafiri kwa kibasi kidogo cha 2x3, viti ni vidogo na vimebanana na kwa safari ndefu inachosha sana. Naamini katika eneo la usafirishaji kampuni iliyokufa ya scandinavia ilikuwa the best. Zaidi ya huduma zao nzuri walisaidia pia kuset standards ambazo wengi sasa wanazijaribu lakini hawazifikii.
   
Loading...