Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 799
- 3,134
Wakomaee na hali zao
Huu ni upumbavu kuanza kujua kwetu wapi mimi ni wa Marangu eeh Una kingine unataka kujua?Kwenu wapi kwanza,tuanzie hapo.
Yaani nitoke Singida niende kumuona ndugu Mbeya kisha Arusha,Mtwara Na Lindi.Si nitakuwa kichaa.Na vipi ndugu jamaa Na marafiki wengine,sisi ndo tumejipangia kuonana wakati Huo Na hali zinaruhusu wewe unataka kutupangia sisi ili iweje.Mkajenge kwenu kwanza nyumba ziweze ku-accomodate watu wengi.
Hahahaaaa....Isitoshe na wewe ni Miongoni mwa wanaosubiri usafiri kurejea Dar.
Hali hiyo imewafanya abiria wengi kushindwa kusafiri leo Ijumaa kutokana na wingi wa abiria waliokuwepo katika kituo hicho.
Moshi. Mamia ya abiria wameendelea kufurika katika kituo kikuu cha mabasi Moshi na kusababisha hali ya usafiri kuwa ngumu kutokana na uhaba wa magari ya kusafiria.
Hali hiyo imewafanya abiria wengi kushindwa kusafiri leo Ijumaa kutokana na wingi wa abiria waliokuwepo katika kituo hicho.
Kukosekana kwa magari ya kutosha abiria wengi wamesitisha safari zao.
Akizungumzia adha ya usafiri huo abiria anayekwenda Dar es Salam, Asha Hamza amesema amewahi kufika kituoni saa 12 asubuhi lakini cha kushangaza hajafanikiwa kupata usafiri.
"Hali hii kweli inachosha tangia asubuhi niko hapa lakini sijafanikiwa kupata gari itabidi tu nirudi nyumbani sina ujanja labda kesho hali inaweza ikabadilika," amesema abiria huyo
Ashura Khalid anayekwenda Singida ameilalamikia Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) kwa kushindwa kutoa vibali vya magari yenye viwango kuwasafirisha abiria waliokosa usafiri
"Tumekuja na watoto hadi sasa hivi tuko hapa hatujui tufanyeje na mizigo hii tuliyobeba, watufanyie tu namna tuondoke maana hali ni mbaya," amesema abiria huyo.
Chanzo: Mwananchi, Millard Ayo
Bila shaka anawaonea wivu tena wivu Wa reja rejamtu alieenda sikukuu kwako unamwita pimbi!!!
Wanamwaga sana damu na sadaka za kafara hawa jamaa ...kuna siku zitawalilia na siku wasipozifanya hizo rituals ndo utakuwa mwisho wa zama zao. Ole wao...Mikumbo tuu kwan unashindwa kwenda kusalimia home muda mwingine mpka uende December.....Au ndo Kurenew maisha kwa kuchinja ?????Mungu hataki mnayoyafanya......
Wewe binti umetokea wapi? Naona unalazimisha kuolewa mitaraPimbi ni wewe uliekimbia kwenu.
Matumizi ya teknolojia hamyajui nyinyi tumieni Skype and the likeKwenu wapi kwanza,tuanzie hapo.
Yaani nitoke Singida niende kumuona ndugu Mbeya kisha Arusha,Mtwara Na Lindi.Si nitakuwa kichaa.Na vipi ndugu jamaa Na marafiki wengine,sisi ndo tumejipangia kuonana wakati Huo Na hali zinaruhusu wewe unataka kutupangia sisi ili iweje.Mkajenge kwenu kwanza nyumba ziweze ku-accomodate watu wengi.
Kwahiyo na kusheherekea sikukuu pamoja tutumie Skype?Matumizi ya teknolojia hamyajui nyinyi tumieni Skype and the like
physical movement zimepitwa na wakati
YeahKwahiyo na kusheherekea sikukuu pamoja tutumie Skype?
Mi sijawahi kuona matambiko kwetu ila ile kujumuika pamoja napata faraja Sana.Then Luna yale mambo ya kuhimizana kufanya shughuli fulani au kupata msaada unapokwama no tofauti na mazungumzo ya simu ambayo uzito unakuwa mdogo.Yeah
kikubwa ni salaam naona,
ama labda kama kuna jambo lingine,
kama kutambika nk.