Abiria wagoma kushuka daladala wapo ndani ya gari makuburi external

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,905
2,148
hivi sasa kuna gari moja la abiria lisilo na route maalumu lipo huku External makuburi na abiria wake wote, baada ya abiria hao kugoma kushuka wakidai wanataka kupelekwa kwao.
Sakati hili linaonyesha abiria hao wanaelekea mbezi na dreva wa daladala hilo alipakia mpaka kimara lakini abiria kugoma kushuka wakidai wapelekwe mbezi, ndipo dreva na konda wakaamua kuwarudisha ubungo ili wawarudishie nauli lakini abiria hawa wamegoma kushushwa. Ndipo dereva akaamua kulileta gari huku kwetu linapolala with FULL OF ABIRIA. Chakuchekesha zaidi abiria walipotaka mpiga dreva wanakijiji wa huku wametishia kuwa piga abiria kwani dreva ni mtu wa hapo kitaani.

Hivi sasa polisi wa kituo cha BUGURUNI wamefika na crusel yao mara baada ya askari ya external police post kushindwa kutatua tatizo. Na naona wamekubaliana gari liende URAFIKI.police.

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,389
4,450
na wewe mleta mada hiyo avatar umeipendea nini m2 wangu. badilisha bana. unajua nimeogopa hata kusoma ulichoandika kisa sitaki kuangalia avatar yako mku
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
58,637
116,794

Panda iyo daladala ukatujuze yatakayoendelea hapo kituoni.
 
Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,271
390
Na huyo Driver kichaa. Abiria vichaa! Kwanini driver anajipeleka polisi akiwa anajua kwamba gari yake hairuhusiwi kupakia abiria. Na hao abiria wamepandaje private car!
Dah! Kesi ngumu sana hii!
Mwenye gari ndio anakomolewa hapo!
 
peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,581
1,162
Duh, hao abiria hawana mambo mengine ya kufanya au ndio ubabe?
 
Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,685
1,266
Duh, hao abiria hawana mambo mengine ya kufanya au ndio ubabe?

Hili ndio tatizo kubwa tulilonalo, hatutaki kusimama kutetea haki zetu kisa kila mtu anajifanya yuko bize, tumefikishwa mahali kila mtu anafanya anavyotaka akijua kwamba hawafanywa lolote- umefika wakati tuamke sasa kudai haki zetu, tusitegemee mambo yatajinyookea tu. Naamini huyo dereva kesho na kesokutwa atafikiria mara mbili habari ya kukatisha ruti
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
hao abiria nadhani hawana cha kufanya huwezi kupoeza muda wako kwa kukimbizana na kichaa maana mwisho wake utaonekana chizi
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
Umeona eeh

haiwezekani hujawaona wanao toka jana usiku ufanye upuuzi wa kumkomoa dereva ambaye ni deiwaka anakesha anazunguka na gari... na hapo unatakiwa ujihimu alfajiri kwa ajili ya kuwahi kazini
 
Kingvictor87

Member
May 31, 2011
83
42
ah isingewezekana wale abiria kumchapa driver tena akiwa kwenye imaya yake!kitaani kila kona masela wamejaa!hahahahaha daah imeniacha hoi sana hii avatar!,
Pia nimegundua jinsi wabongo wanavowaste tym ktk ishu ndogo!umefika kimara then ukarudishwa ubungo na nauli ukarudishiwa lakini bado mzozo
 
luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
hiyo ni njia mojawapo ya kutafuta haki!dreva anajiamini make gari utakuta la mkubwa ila anasimamia trafic/askari!
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,416
58,046
na wewe mleta mada hiyo avatar umeipendea nini m2 wangu. badilisha bana. unajua nimeogopa hata kusoma ulichoandika kisa sitaki kuangalia avatar yako mku
mimi huwa nikiiona hio avator nafunga pag faster ..nimewaandikia mods waitoe ila hawajaitoa bado my b meseji haikufika ....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom