Sijawahi kuona mateso jinsi hii kama yalivyotokea leo kwenye mabasi ya mwendokasi.Abiria baadhi ya vituo vya Kariakoo wamekaa zaidi ya saa 4 bila kupata gari.
Kila gari inayokuja imejaa na haisimami.Machache yanayosimama yalikuwa yanachukua abiria kidogo tu kwa sababu hakuna nafasi ya kubeba abiria zaidi.
Matatizo kibao ya mwendokasi nina imani serkali haijui kwa sababu hakuna waandishi wa habari wanaopanda mabasi hayo ili wajionee wenyewe kusudi wapate fursa ya kuandika au kutangaza kwenye vyombo vya habari.
Nina uhakika raisi wetu Maghufuli laiti kama amebahatika kuona jinsi abiria wanavyopata shida anaweza kutoa chozi.
Mbunge wetu Kubenea nae amelala usingizi wa pono hata hajui watu wa jimbo lake wanapata mateso gani kwenye mwendo kasi.
Mbali ya tatizo la uchache wa mabasi upuuzi mwingine wa kupakia abiria na kuwashusha Kimara halafu wanapakiwa tena na mabasi hayo hayo kuwapeleka mjini bado unatesa watu.
Mvua ilipoharibu miundo mbinu ya barabara majuzi wahusika na UDART waliwatangazia Watanzania haraka haraka kuwa samahani kwa usumbufu uliojitokeza baada ya mvua kuharibu barabara.
Lakini viongozi hao pamoja na kusikia malalamiko kibao juu ya sababu inayowafanya viongozi wa UDART kuwashusha abiria Kimara na kisha kuwachukua tena.
Sababu kuu ya kuwashusha haielezwi ni kwa ajili kuchukua kitu gani pale.
Mabasi 70 mapya hawaelezi kwa nini yamehifadhiwa stoo badala ya kuokoa janga la uhaba wa mabasi haya.Wadau wa usafiri wa Dar wanashauri kwa nguvu zote daladala ziruhusiwe kwa sababu mradi huu ni USELESS.