OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,034
- 114,424
Safari yetu inaendelea vizuri. Abiria wameanzisha ubishi kuhusu hali ya nchi.Aliyeanzisha mjadala alianzia kwenye hali ya uchumi akisema kwamba hali ya uchumi ni mbaya. Mimi nikampinga kwamba anaona hivyo kwa sababu wapiga deal wamebanwa......
Abiria huyu "wa kawaida" akanijibu awamu ya Kikwete mafisadi wakikwepo na hela zilikuwepo pamoja na watumishi kulipwa angalau vizuri.Akanihoji sasa mmewabana mafisadi hela mmepelema wapi? Nikajibu rais kanunua ndege.....Akaniambia wakati tunaanza safari kuna abiria alikosa nauli ya elfu tatu,hiyo ndege itatusaidia nini sisi masikini......akauliza kama kuna mtu humu kwenye gari anaweza kupanda ndege.....Akahitimisha kuwa yeye anaamini ndege ni usafiri wa mafisadi,maana ndio kwenye uwezo wa kupanda ndege.Wewe masikini unayepiganiwa na Magufuli ndege haikuhusu.....
My Take
Mimi nimemuelewa huyu abiria,ujumbe anaotupa ni kwamba kunaweza kusiwe na mahusiano ya moja kwa Moja kati ya masikini na ndege iliyonunuliwa kwa cash,hasa ukizingatia kukosekana kwa pesa kunafanya mtu wa kipato cha kawaida kutomudu usafiri huo.Kwa hiyo walioishi kama malaika ndio wanaoendelea kufaudu mema ya nchi