Abiria tunaopanda mabasi ya dar express tunayahitaji barabarani haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria tunaopanda mabasi ya dar express tunayahitaji barabarani haraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Nov 2, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ki ukweli nimeshangwazwa sana na hii habarihainiingi akilini mabasi yanayotoa roho za watanzania yanaachwa hebu niweke wazi Sumri na Mohamed yamesababisha ajali nyingi sn me nikiwa shahidi mdogo wangu alipoteza maisha kwenye ajali ya mohamed ambayo dereva alisababisha likapata ajali lkn leo binafsi Dar express sijawahi kusikia ajali ya mabasi yake kwanza anatumia mabasi imara na mazuri ya Mercedez Benzi yote wala sio ya kichina ambayo ni chinja chinja nilikuwa nasafiri next week kwenda Arusha plz Sumatra nawaomba mturudishie mabasi tunayoyamini hatutaki kuburuzwa kama wamewanyima rushwa si basi!!!!!!
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haha dar express ni chadema wanawakomoa
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Yaani inashangaza kwa kweli uamuzi huu wa SUMATRA. Mbona yale magari ambayo yanaongoza kwa ajali yanaachwa??
   
 4. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Taarifa ya SUMA-TRA ipo wapi?
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ni ktk muendelezo wa kuukomoa mji wa arusha mbunge ndani,sasa usafiri nao mkose,mgao wa umeme kwa sana
   
 6. mgaza2001

  mgaza2001 Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
 7. facebook

  facebook Senior Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imekuwaje tena? Kwani yamefanya kosa gani?
   
 8. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Dah mambo mengine bana yanachosha sana hata aibu hawaoni aibu kuna haja ya kujua kiwango cha taaruma zao wamesoma wapi wapi hawa?????????????
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ina maana Dar Express na yenyewe imefungiwa,,,,,?
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dar Express ina magroup ya magari, yapo mazuri na makuukuu. Kuhusu suala la ajali Co. haijapata ajali mbaya kama ambazo inapata kampuni za Mohamed, Sumri na Shabiby kwa mbali. Hapa kuna agenda ya siri.
   
 11. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haiingii akilini sumatra kuifungia Dar express. Sababu walizotoa, eti imegonga boda boda na mwenda kwa miguu. Hawaoni mabasi yanayochinja watu kila siku barabarani. As far as I know dar express ni moja kati ya kampuni makini ya usafirishaji. Hawana utitiri wa wapiga debe ubungo, hawana usumbufu wa kuchelewa kuondoka wakisubiri basi lijae, huduma zao nzuri.

  Tafadhali Sumatra tuombeni radhi watanzania kwa uonevu huu unaotufanyia. mmeshindwa kusimamia mambo ya maana sasa mnaanza kuonea watu namna hii. Niambieni nyie sumatra yale malori yaliyogeuzwa kuwa mabasi mangapi mmeyafungia?
   
 12. b

  babap Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaacha kufungia upendo/budget, majinja,air bus, bin salim,sumry,,,,
   
 13. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  hapa kuna ishu kama sio dili au siasa.hakuna mabasi ya kuaminika barabarani kwa sasa kama dar express.
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kama wangekuwa na akili timamu wangeachunguza idadi ya marehemu au vifo vinavyotokana na ajali hizo au idadi ya majeruhi hao kisha waakalinganisha na mabasi mengine, ungeweza kukuta ni 0.0025% compared na mabasi mengine ambayo ajali yao moja sio chini ya watu watano hupoteza maisha papo hapo achilia mbali wale watakaofia makwao
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Dar express anaadhibiwa kwa kuongoza wamiliki wengine wa magari kugomea mpango wa jeshi la polisi wa kufunga kifuatilia nyendo za magari cha utrack ambayo kwa maelezo ya wenyewe wa dar express hakiwezi zuia ajali wala kuongeza ufanisi wowote. Kwa hilo dar express alifanikiwa ila na yeye sasa analipa gharama na kuifanyia jeuri dola ya nchi. Yani ni full manyanyaso nchi hii.

  Gharama ya kufunga utrack moja ni mil 5 na ndipo wamiliki wa mabasi walipinga kwa nguvu zote isipokuwa wachache kama metro bus. Na mkumbuke hiyo utrack ni dili ya mkubwa wa police wajameni. Changanya na zako
   
 16. F

  FredKavishe Verified User

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakuu mbona mabasi ya dar ex press yanapga mzgo kama kawaida nimeyaona asubuh
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Wacha urongo wewe, gari za kwenda rombo na karatu sio mesidizi benzi, ni markopolo andare klasi, na za moshi na nairobi nyingi ni scania irizar, ila zina uafadhali kulinganisha na ile mingorika sijui mi fresh na mibasi myengine ya bei rahisi. binafsi nimekuwa mpanzi wa dar express tangu 96, sina tatizo nao kabisa.
   
 18. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  SUMATRA ni janga jingine iko kichama zaidi sio kikazi
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  SUMA jamaa wamekomaa kuwaweka sawa nini/mlungula yaani Jan to Oct ajari tatu mnasimamisha kampuni mbona kuna makampuni apa kila mwezi ajari na bado wanadunda!
  Unajua huwa huwa ninawaza ivi tuko serious ktk lipi hasa sisi kama watz!
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  kuna kitu kipo nyuma ya kapeti ..hahaaa kweli hawa viongozi sasa wanawaona watz kama masaburi ...nai hayajui mabasi yanayoua?...duh!!
   
Loading...