Abiria someni mizani airport mkipima mizigo yenu;mnaibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria someni mizani airport mkipima mizigo yenu;mnaibiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Jul 12, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni wazo tu kwa wale wanaopenda mapenzi mema;
  na ambao watapata nafasi ya kwenda Mwanza nawashauri kama unapima mizigo jitahidi kuangalia inasoma kilo ngapi...

  Kumekuwa na wizi wa ajabu ambapo wafanyakazi wa swissport wamekuwa wakiwaibia abiria kushirikiana na wa ndege huusika kwa kutaja kilo tofauti na iliokuwepo ili mteja aweze kubanwa na kulipa zaidi....

  Kwa wenye kuona mnashauriwa mkifika ukapima mzigo usikubali ushushwe kwenye mizani mpaka usome kwa macho kiasi gani na bei ya kilo inayozidi jitahidi uonyeshwe karatasi husika ikionyesha kiasi gani..na iwe na muhuri wa kampuni husika...

  Kumekuwa na kuchapishwa karatasi kuonyesha bei wanayotaka wao ili mhusika alipe zaidi....kwa wale mnaojali safari jitahidi kila safari unayofanya pima mzigo wako soma mwenyewe usikubali kusomewa .....

  BORN VOYAGE
   
 2. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Karani wa Swissport akiinufaisha kampuni kwa kuzidisha hela kwenye register ya Swissport anapata nini, cheo?
   
 3. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  wewe jamaa anasema kunakuwa na lisiti feki pia hivyo pesa inaingia mfukoni kwake
   
 4. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wewe, jamaa anasema kunakuwa na lisiti feki pia, hivyo pesa inaingia mfukoni kwakwe. Take care
   
 5. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yaani ufisadi kila kona!
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa nilimsindikiza binti yangu hivi juzijuzi tu tulipima mzigo nyumbani kufika pale wakatudai pesa zaidi tukafikiri labda mzani ulikuwa mbovu ahsnate tutakuwa waangalifu
   
 7. b

  bnhai JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hiyo naikubali saana. Hawa jamaa airport wanachosha kuanzia uhamiaji mpaka kwenye mizigo. Nami waliwahi kumzuia mtu hapo eti hana return ticket wakati mtu anavisa ya 4 yrs. Ukiwauliza nani anakata ticket ya return kama anaenda kuishi for 4 yrs?
  Kuna haja ya kupiga push up siku moja pale airport
   
 8. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yero uliniona nini? Yalinikuta pale DIA ofisa mmoja anaitwa Mbise eti return iko wapi nilimweleza kitu kimoja angalia yasije yakawa mambo mengine na makubwa hapa! akauliza kwa nini? nikamwuuliza umeisoma hiyo VISA inasemaje???

  Huwa ni wajinga sana bado ukiritimba wa kijinga sana DIA. pale KIA hakuna haya.
   
 9. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  Inawezekana hawajui kusoma immigrations documents!! au unakuta wanakalili kuwa mtu akisafiri lazma awe na return ticket.

  Wehuu watupu ukilaza mpaka sehemu nyeti tatizo ni kubebana tu hakuna qualification ya maana.
   
 10. b

  bnhai JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Kuna siku pale airport nadhani inabidi wakae mkao wakula. Wamening'ang'ania, wewe unatoka nje na begi dogo kwa nini? Watu huwa hawaji na begi dogo. Kama wanasuspect kitu jamani kagueni maneno ya nini? Mara mbona umekaa siku nne tu Tanzania inamaana ulikuja kufanya nini? Yanawahusu haya au mnatakiwa kuangalia sheria kama imevunjwa???
   
Loading...