Abiria ndani ya mwendokasi unamkuta mumeo au mkeo kafanya hivi utafanyaje?

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
5749c1a6d9354c4a8666aa73a5d6127c.jpg
 
Kosa lake nini hapo? Ndo usafiri wetu huu. Zaidi ntamuomba dada ageuke upande mwingine, asitazamane na mume wangu uso kwa uso
 
Kosa lake nini hapo? Ndo usafiri wetu huu. Zaidi ntamuomba dada ageuke upande mwingine, asitazamane na mume wangu uso kwa uso
Hakuna kosa me nimeuliza tu ila hata akigeuka nyuma ni yale yale labda umwambie ashuke
 
Watu wanafaidi asee, alafu kwenye situation kama hii mwanaume kujichafua simple sana
 
Back
Top Bottom