Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Kwakweli imebidi nije kwenu maana humu ndio penyewe kwa kila jambo naomba msaada wa kimaamuzi kwacc wapenzi wa gospel kati ya hao magwiji wawili nani mkali ?
Andika jina tu kwa unayeona nyimbo zake ni nzuri mnoooo hakuna kila binadamu anaupande wake bila unafiki Mimi nàmkubali abihudi misholi

Twende kazi
Mchungaji Abiud Misholi
 
Mmoja nyimbo za kuabudu na kutafarakari (abihudi)
Mwingine nyimbo za kusifu (mwaitege)
Hakuna fairness kwenye kutafuta ubora wa kila mmoja
Kulingana na aina ya tungo/utunzi wao.
Ili iwe fair ingekua hivi
Sedekiya vs abihudi
Mwaitege vs mwahangila (mungu ni mungu tu)
 
Kwakweli imebidi nije kwenu maana humu ndio penyewe kwa kila jambo naomba msaada wa kimaamuzi kwacc wapenzi wa gospel kati ya hao magwiji wawili nani mkali ?
Andika jina tu kwa unayeona nyimbo zake ni nzuri mnoooo hakuna kila binadamu anaupande wake bila unafiki Mimi nàmkubali abihudi misholi

Twende kazi
Hivi umeishia darasa la ngapi,naona hujui hata maana ya neno tetesi.
 
Abiudi ananyimbo ukiwa unahitaji uwepo wa Mungu rohoni mwako lazima akili ifanye kazi fasta kujua Mungu alikutoa wapi na unatakiwa uende wapi na unatakiwa ufanye nn ktk maisha yaliyopo.lazima ujitambue na kama ulikuwa kinyume na Mungu lazima utubu
Kweli kabisa, ukisijiliza nyimbo zake utazidi kuimarika kiroho.
 
Tenda miujiza usiache Bwana mwaka huu upite,bila kutenda miujiza,Ee Moyo wangu amka umwimbie Muumba wako aliyekulinda usiku ,akuonge maisha,Nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom