ABG appoints Philbert Rweyemamu General Manager of Tulawaka Mine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ABG appoints Philbert Rweyemamu General Manager of Tulawaka Mine

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, Sep 1, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  [​IMG]

  Philbert Rweyemamu

  *Rweyemamu among most experienced Tanzanian mining executives
  *He commences duty as GM effectively on 3 September 2012


  AFRICAN
  Barrick Gold (ABG) is pleased to announce that it has appointed Philbert Rweyemamu as General Manager of the Tulawaka Gold Mine.


  Mr. Rweyemamu, who is one of the most experienced Tanzanian mining executives, has more than 30 years professional mining experience. He will commence duties on 3 September 2012.


  He previously worked for DeBeers Williamson Mine in various roles, the most senior being Director of Production, a position he held from 2001 to 2003. He then held the position of Mining Manager Services from 2003 to 2004 at Orapa & Lethakane Mines in Botswana after which he moved to South Africa with DeBeers where he worked as Mining Manager for Oaks Mine in Limpopo.


  Mr. Rweyemamu was then promoted to the position of Operations Manager for Namaqualand Mines in Kleinzee, South Africa.


  He left DeBeers and joined ABG's North Mara Mine in 2007 where he worked as Mining Manager. From 2007 to 2010 he headed up the Artisinal Mining and Small-Scale Mining Project for Barrick in Tanzania before being appointed as Government Relations Manager for ABG, a position he held until March 2012. Mr. Rweyemamu then left ABG to join Shanta Mining Company on the Singida Project as General Manager.


  Mr. Rweyemamu holds a Masters of Science degree in Mining Engineering, Geomechanics, from the University of Exeter, Camborne School of Mines in England. He also holds a Bachelor of Engineering in Mining Engineering from Camborne School of Mines and a Mining Technology Diploma from Hailey School of Mines, Ontario in Canada.


  About Tulawaka Mine

  The Tulawaka mine located in Biharamulo district, Kagera region, is one of ABG's four gold-producing mines in Tanzania.

  The mine comprises a completed open pit mine with an underground access ramp located at the bottom of the pit.


  As at 31 December 2011, a total of 1,043 people were employed at Tulawaka. Some 493 were direct ABG employees and 550 were contracted personnel.

   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Judging from his CV, he deserves it. Good luck.
   
 3. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  huyu Rweyemamu ana undugu na wale wengne kama Silva Rweyemamu(IKULU) na Muhigo Rweyemamu(DC Handen)?
   
 4. N

  Ndibahika Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rweyememu is a common Haya name. Sidhani kama ana uhusiano na hao Rweyemamu wengine.
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Jakaya hakumuappoint huyu Jamaa kuchukua nafasi ya Ukamishna wa madini baada ya ya nani yule kwenda kichwa kichwa kwenye siasa za Igunga?

  au kwa vile yeye sio MNEC?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wa migodini huwa siwaamini hata kidogo manake wakishaingizwa tu huko, wanajoin ile den of robbers kubeba mali ya Mtz!!!!
   
 7. J

  Jozdon Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani unamaanisha mining industry Tanzania should employ only foreigners and those are the one to appreciate growth. I think we should take mining oppurtunities kama oppurtunities nyingine zezote za employment na we shouls support and congraturate wale watanzania wachache wanao grow kinafasi. Its an international proffesion na kama umeona jamaa ka grow na kuwa suported kwenye nchi za watu. sasa kaja kusave nyumbani we should support him and others like the Asa Mwaipopo wanaotuwakilisha vizuri kwenye industry hii. Tusijetawaliwa zaidi na wivu badala ya facts!
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa shule hiyo ya jamaa wasingewezana....hii is too professional.
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Wanampa tu kama cover lakini maamuzi yote na uendeshaji wa kila siku katika kukwapua na kuiba mali yetu watakua wanafanya huyu wamempa kisingizio tu kwamba wanatoa nafasi kubwa kwa wtz...
   
 10. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kweli kwa shule ya Nshomile huyu na jinsi anavyoijua kazi naona wasingeiva na hasa ukizingatia kuwa jamaa yetu wa magogoni anapenda mtu anayemsifiasifia kama anavyofanya Rweyemamu wa kuchonga pale habari Ikulu
   
 11. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  For ur record jamaa hakuomba nafasi hiyo alikuwa nao mpaka last 7 month ago akawatosa akaenda shanta mining. Jamaa manager wa tulawaka alipo maliza mkataba wake wakatafuta kichwa kinachoweza kuendesha mgodi ule ukanyanyuka wakaangalia record yake pande za kusini mwa africa.botswana na south africa wakamtafuta na kumpa dau kubwa.

  Imagine alifikia nafasi ya kuwa operation manager hiajawahi tokea bongo nafasi hiyo akapewa mbogo huwa ni wageni tu.
  Ila yeye aliipata kwao uko uko....na shule hiyo hawa wanao toka australia na uk huwa hawana shule ya nama hiyo wanakuwa na uzoefu wa managment na degree moja ya mining. Jamaa north mara alimtoa machozi GM wa wakati huo alivyo mbana. He is good kwa kweli.
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Sidhani... Rweyemamu SIR name ni kubwa kama VILE SHIJA; MOSHI; MUSHI;KAZI;MWINYIMKUU;MWAKYUSA n.k Mara nyingi no

  Uhusiano
   
 13. u

  ukweli2 Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Jamaa alipokelewa Tulawaka kwa shangwe sana na nyuso za furaha kutoka kwa wafanyakazi wa bongo mgodini hapo...
   
 14. m

  mwanza JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 508
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  labda tu kwa wasiofahamu huyu jamaa ndio aliyefufua ule mgodi maarufu wa almasi botswana na ndio uliochangia sana maendeleo ya botswana.
  kwa hapa kwetu alikuwa mwadui toka aondoke mgodi ulikufa na hata leo wale wazungu wa pale mwadui wanahangaika kumpata ila fedha yao hawawezi kushindana na barrick.
  kinachomsaidia sana ni ubunifu alionao na kufanya kazi kutokana na mazingira aliyopo hiyo imemsaidia sana kwenye utendaji wake.
  alipokuwa barrick alikuwa anasimamia project ya barrick kuwasaidia wachimbaji wadogo wadogo na kununua dhahabu yao na hii kwa mtazamo ndio ilikuwa njia pekee ya kupunguza ugonvi kati ya wachimbaji wadogo wadogo na kampuni kubwa. sijajua project iliishia wapi ila lilikuwa wazo zuri sana.

  kwa kifupi jamaa ni jembe
   
 15. B

  Bonge JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 868
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  Nimesikia kwenye habari mgodi wa tulawaka utafungwa 2013. Gold ore wameshaimaliza iliyobakia haitoshi. Kwanini wanamteua kwenye mgodi walioshamiliza kuchukua mali yote
   
Loading...