TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

oh nimesikitishwa na hii taarifa...................Pumzika kwa Amani, Mr Ebbo..................ulileta ladha mpya katika muziki wa kizazi kipy!
 
sio kwamba sina uhakika, huyu jamaa kafia Arusha maeneo ya Usa, hapa nilipo naishi karibu kabisa na shangazi ake, maeneo ya kimandolu, na chalii aliekuwa ana muuguza ni chalii etu, ambae ni binamu yake. Kwaio nna uhakika na hii habari.

Ni nini kilichopelekea kifo chake mkuu.
 
Nimesikitika sana niliposikia taarifa kwenye radio One..........Mungu ampe pumziko la milele. Amina
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe poleni sana ndugu watanzania kwa ujumla mwanamziki pekee aliyedumisha mila
 
mmmh! niliwahi kukaa kwenye nyumba yake kisosora, dah! alikuwa mtu wa stori kiaina, motica records....
R.I.P Mr. Ebbo
 
Back
Top Bottom