Abdulrahmani Kinana kuanza ziara kwenye mikoa 4 kuanzia Jumamosi Aprili 23, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.

KAZI INAENDELEA

Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220422-WA0028.jpg

IMG-20220422-WA0027.jpg
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣
 
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.

KAZI INAENDELEA

Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.

#CCMImara
#KaziIendelee

View attachment 2196788

View attachment 2196789
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu alivyotuhumiwa kumaliza tembo wetu na kumtukana Magufuli nani alijua angerudi? Kweli Tanzania ni shamba la bibi sasa.
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣

Ccm haina uwezo tena wa kushindana kihalali maana imepoteza ushawishi kwa umma. Anapita kuhadaa umma, lakini vyama vingine vikianza kupita na kufanya siasa, wakiona uungwaji mkono wa upinzani vyombo vya dola vinaagizwa tena kuibeba ccm! Uzuri sasa hivi vijana wameshalipuuza box la kura.
 
Filed Marshal wa Siasa za Tanzania anaingia saiti, sio kuomba Hela kama Chadema, ila kuijenga CCM.

N.B. Huyu ni kampeni meneja wa maraisi karibu watatu, na wote walishinda, full professor wa sayansi ya Siasa za saiti...kwa wananchi, Nape ni Associate Professor
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣
Aione THE BIG SHOW
 
Back
Top Bottom