Abdulrahman Kinana, katibu mkuu mstaafu wa chama cha mapinduzi (ccm) katema cheche kwenye sakata la korosho!!! Asante mzee wetu.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
"itakuwa korosho kubwa kama tutakuwa na chama au serikali ya watu wote wanafikiri sawa, wana maoni sawa, wana kauli sawa kwa kila jambo "

Tukiwa na watu aina hio tutakuwa ama hawafikiri au hawasemi ukweli.

Una maoni gani katika hii.

mr mkiki.
 
Kazi na bata
2F0A7DE7-D302-4CF4-AAFF-0E349588A2DE.jpeg
 
Back
Top Bottom