Abdul Nondo anena mazito: Kama Musiba ana taarifa za ufisadi kwanini hapeleki kwenye vyombo husika?

Sio jukumu lake kwenda mahakamani,yeye ni mpiga filimbi,ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi taarifa zake kiundani na kuwafikisha mahakamani wahusika vikijilidhisha ya kuwa tuhuma hizo zina ukweli.
Wao ndio wataalam wa kuandaa mashitaka.
Nondo aache kutafuta cheap popularity,muha mjingamjinga huyo
Kwanin sio jukumu lake,unaweza kupeleka kesi mahakamani kama una ushahidi wa jambo flani,je aliepeleka kesi kuhusu awa wat wanaosimamia uchaguzi si ni mtu wa kawaida tu…
 
Sio jukumu lake kwenda mahakamani,yeye ni mpiga filimbi,ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi taarifa zake kiundani na kuwafikisha mahakamani wahusika vikijilidhisha ya kuwa tuhuma hizo zina ukweli.
Wao ndio wataalam wa kuandaa mashitaka.
Nondo aache kutafuta cheap popularity,muha mjingamjinga huyo

sasa si avipelekee vyombo vya usalama hizo taarifa kisha aviache vifanye kazi zake?
 
Sio jukumu lake kwenda mahakamani,yeye ni mpiga filimbi,ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi taarifa zake kiundani na kuwafikisha mahakamani wahusika vikijilidhisha ya kuwa tuhuma hizo zina ukweli.
Wao ndio wataalam wa kuandaa mashitaka.
Nondo aache kutafuta cheap popularity,muha mjingamjinga huyo
Ikitokea vyombo vikapuuzia na kuona ni taarifa za kupikwa tuu? Yani musiba awe na taarifa nyeti bila wao kuwa nazo?
 
Wewe ndio kubwa jinga kabisa
Sio jukumu lake kwenda mahakamani,yeye ni mpiga filimbi,ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi taarifa zake kiundani na kuwafikisha mahakamani wahusika vikijilidhisha ya kuwa tuhuma hizo zina ukweli.
Wao ndio wataalam wa kuandaa mashitaka.
Nondo aache kutafuta cheap popularity,muha mjingamjinga huyo
 
Kwani wale walioenda Mwembeyanga miaka Ile na kututajia majina ya mafisadi walikuwa hawajui kama kuna mahakama nchi hii?

Huyo Mwanawachu alikuwa bado kwenye mashamba ya karanga au?

Mwambieni hao wengine tuliwaita tunu ya taifa kwa kufanya kile kile anachokifanya Musiba leo.

"The same boiling water that hardens an egg softens a potato"
 
Mwenye akili za kushikwa, hukimbilia makabila ya watu, badala ya kuangalia hoja za mtu huyo. Wewe ni moja wao.
 
Ok... Tumemwelewa!

Kinana sio fisadi. Nape siyo fisadi na kwa hiyo nchi hii hakuna ufisadi
 
Sio jukumu lake kwenda mahakamani,yeye ni mpiga filimbi,ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi taarifa zake kiundani na kuwafikisha mahakamani wahusika vikijilidhisha ya kuwa tuhuma hizo zina ukweli.
Wao ndio wataalam wa kuandaa mashitaka.
Nondo aache kutafuta cheap popularity,muha mjingamjinga huyo
Mkuu huyo dogo anaviumbuwa vyombo husika ambavyo vimekuwa na standards nyingi kwenye matukio ya sura za kimsiba msiba. Utawasikia wanasema " hatufanyi kazi kwa maneno ya mtaani, mitandaoni, magazetini". Msiba akiasema, akichapisha, akipost...inakuwa taarifa tosha kwa Vyombo husika kufanyia kazi.
 
Mkuu hawa Wenzetu wanasahau mapema
Wanakuwa na bipolar disorder..
ndo maana wanaitwa nyumbu
Kwani wale walioenda Mwembeyanga miaka Ile na kututajia majina ya mafisadi walikuwa hawajui kama kuna mahakama nchi hii?

Huyo Mwanawachu alikuwa bado kwenye mashamba ya karanga au?

Mwambieni hao wengine tuliwaita tunu ya taifa kwa kufanya kile kile anachokifanya Musiba leo.

"The same boiling water that hardens an egg softens a potato"
 
Mbona Magufuli akitajwa ufisadi wa wazi na upendeleo uliokithiri mnapiga kelele? Aliyemtangaza kuwa mtakatifu Nani wakati akibanwa ufisadi wa Kivuko anakigeuza kuwa meli ya Kivita?
Soon Lumumba itapata hadhi ya hospitali ya Mirembe na kuhitaji timu ya madaktari kuweka kambi hapo kutoa msaada wa tiba
 
Back
Top Bottom