Abdul Kambaya: Tulizihitaji Busara na Hekma za Mwalimu Khalifa kuelekea Uchaguzi wa Oktoba

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Abdul Kambaya amesema tulizihitaji busara na hekma za Mwalimu Khalifa katika kuelekea Uchaguzi wa mwezi October mwaka Huu.

Mwalimu khalifa alikuwa kiongozi mwenye Busara na hekima kwa kila mtu hivyo tulihitaji uwepo wake kuelekea uchaguzi wa mwaka huu.

Mwalimu khalifa alifariki Dunia Jana usiku katika hospital ya Agakhan na amezikwa Leo katika makaburi ya Kisutu.

IMG_20200331_123748_130.jpg
 
View attachment 1405179

CUF hamuongelei tume huru vya uchaguzi, au ndio mnasubiri viti vya hisani kutoka kwa Magufuli?
 
Back
Top Bottom