Abdul Kambaya, ni mtangazaji au mtetezi wa Serikali-Malumbano ya hoja?

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,467
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.
 
hiki kipindi kimepwaya, yani mchangiaji anapaswa kuongea kile ambacho kinamfurahisha kambaya na mweziee.

Bado hawajui nini maana ya malumbano ya hoja, ukikosoa utendaji wa magufuli unakwamishwa na maswali yake yasio na msingi, lkn ukimsifia hakuulizi kwann umempa imani magufuli.

Mfano anamkosoa mchangiaji kwa kumwambia lkn siku zenyewe si 100? hasa unajiuliza kwani mada inasemaje?

Kiukweli kipindi hiki kimebana demokrasia, watu hawapo huru, na wengine nahisi wanaogopa kuomba myke kuzungumzaa
 
MIMI MWENYEWE KANISHINDA HUYU JAMAA
 
Hayo ni malumbano ya hoja huyu kambaya anapwaya sana anatakiwa awaache wajumbe waongee wanachokifikilia sasa mtu akianza kuponda serekali na kumshauli mh rais anamuatack haraka sana.. Sasa atuambie yupo hapo kwenye kipindi kutetea?
 
Mwe wanamuangalia unataka wawatbc?.
 
hiki kipindi kimepwaya, yani mchangiaji anapaswa kuongea kile ambacho kinamfurahisha kambaya na mweziee.

Bado hawajui nini maana ya malumbano ya hoja, ukikosoa utendaji wa magufuli unakwamishwa na maswali yake yasio na msingi, lkn ukimsifia hakuulizi kwann umempa imani magufuli.

Mfano anamkosoa mchangiaji kwa kumwambia lkn siku zenyewe si 100? hasa unajiuliza kwani mada inasemaje?

Kiukweli kipindi hiki kimebana demokrasia, watu hawapo huru, na wengine nahisi wanaogopa kuomba myke kuzungumzaa
Umenena kilichokuwa kinanikereketa.Huyu jamaa cjui kaletwa maksudi!
 
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.
Watu wa UKAWA bwana utawajua tu ! Vijiba vya roho vitawauwa mwaka huu! Rais Magufuli anawapoteza UKAWA kwa kasi ya ajabu! Malofa walitegemea watu watamponda Magufuli.
 
Huyo na buhoyela ni ndg mmoja.Naona amechukua nafasi ya masaju huyu kambaya wenu anaharibu kipindi.Yaani nimeamua kuzima tv ni lale
 
sijui kama anafahamu maana ya malumbano ya hoja huyu jamaa. kanikera sana leo
 
Kwani mnafikiri wenzenu hawataki kuwa kama mwenzao Emmanuel Buhohela...baada ya "kumpamba" JPM kwenye kampeni zake za uchaguzi,saivi Buhohela anazunguka na JPM popote aendapo
Hizi nafasi hata huyo bonge nyanya Kambaya anazitaka,huwezi kuita "Malumbano ya Hoja" halafu uwe unaingilia ingilia hoja za mchangiaji kisa unataka uonekane kwa JPM kuwa "unamtetea".Acheni unafiki nyie waandishi njaa kama Kambaya
 
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.
Jifunze wewe na wenzio kukubali msichokipenda.
 
Jamaa wanautafuta ukuu wa wilaya kwa kumsifia Magufuli, Watangazaj wa ovyo kabsa, then ni wavivu kufkir, masamaki mengne bana!!
 
hiki kipindi kimepwaya, yani mchangiaji anapaswa kuongea kile ambacho kinamfurahisha kambaya na mweziee.

Bado hawajui nini maana ya malumbano ya hoja, ukikosoa utendaji wa magufuli unakwamishwa na maswali yake yasio na msingi, lkn ukimsifia hakuulizi kwann umempa imani magufuli.

Mfano anamkosoa mchangiaji kwa kumwambia lkn siku zenyewe si 100? hasa unajiuliza kwani mada inasemaje?

Kiukweli kipindi hiki kimebana demokrasia, watu hawapo huru, na wengine nahisi wanaogopa kuomba myke kuzungumzaa
Super Brand hiyo, iacheni tv ya taifa inogile!
 
Mleta mada umeniwahi tu kuleta hii mada kwani hata mimi nilitaka kuandika hapa JF kuhusu huyu jamaa na mada yangu nilipanga kuipa kichwa cha habari kinachosema:"Uongozi wa ITV muondoeni Kambaya kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja."

Kwakweli yuko biased sana na sijui anatafuta ukuu wa wilaya?!Yeye kama muongoza kipindi na zaidi akiwa ni mtu aliesomea uandishi wa habari inashangaza kumuoma anashindwa kuwa neutral na badala yake anakuwa na upande.Anajitia aibu sana na anakera.
 
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.
Wajaribu kumweka Sam maela au Abdalah Mwaipaya au hata Deo liunga kidogo labda watathubu kuwaachia watu wawe huru kidogo.
 
Huyu mtangazaji amekuwa na tabia ya kuwa-attack wachangiaji wanaokosoa setikali.

Leo katika Malumbano ya hoja mchangiaji anayoa hoja ya kukosoa kutorushwa matangazo ya bunge love anam-attack na kumuuliza Eti "Kwa hiyo umeme ukikatika tz nzima wabunge wasiendelee ba kazi?

Sidhani kama huyu mtangazaji ana elimu ya kutambua mambo,kwa kumuangalia tu ni elimu ya kuungUnga.

!
!
Mnapata wapi muda wa kumwangalia huyu mpambaf
 
Hajui maana ya malumbano huyo, kipindi kitapoteza watazamaji
Ni kweli wengi hukimbilia kusikiliza BBC star tv kisha humalizia kusikiliza clouds spot na kuangalia mengine, Mama MHAVILE jaribu kulitizama hilo kwa jicho la tatu, vinginevyo Kipindi kitakosa watazamaji na wadhamini watakimbia.
 
Back
Top Bottom