Abdulrahman Kinana Na Artumas

Kuna mtu alishauliza ni kwanini makampuni yanajiregister huko cayman island,baadhi ya majibu ni haya...
if they do their primary business somewhere else, say in the US or in Europe then my assumption would be they are registered in the Caymans for the purpose of avoiding tax, legal or regulatory issues. would it stop people from doing business with them? that would depend on the nature of the business and the prospective customer/client

Many multinational corporations are registered in the Cayman Islands to avoid taxation in their "home" country of operations. This doesn't affect their legitimacy Maggie, but it does raise ethical and of course tax avoidance questions. However, if the company has less savory reasons to be in business and avoid legal and accounting scrutiny, it will obviously be considered less legitimate still if it chooses a location such as the Cayman Islands, but there are several other options available under those circumstances as you are probably well aware of.

Personally, I avoid and discourage others from buying products and services from companies that attempt to circumvent paying their fair share of taxes in the country they deliver the product or service.

Does a company look less legitimate when it's registered in Cayman Island? | LinkedIn Answers | LinkedIn

Halafu vinchi masikini kama vyetu vinakubaliana na huu upuuzi,mwalimu aliwahi kusema serikali isiyokusanya kodi ni ya rushwa.Ndo hizo wanazowekewa uswisi,there is no justification kabisa.Yani tunafanyiwa uhuni mtupu!

Nchi za kibepari ambazo zimeshakusanya kodi hadi kufikia hapo zilipo,bado wanaangalia hilo la makampuni kuregister huko cayman.

Makampuni hayo hukimbia nchini mwao na kwenda huko cayman kwa kisingizio cha "regulations",jambo ambalo sisi hata halipo kwenye msamiati wetu,sasa kuna haja gani ya kuwa na kampuni kama hiyo kwenye taifa kama letu?Reason ya political instability haipo kwetu kiasi cha kwamba tuwe na kampuni ya uwekezaji iliyojiregiter cayman islands.Wala hakuna uncertainity ya market kwenye biashara ya oil ambayo ingepeleka wafanye hivyo.

Limited transparency regarding financial activities in foreign
jurisdictions may tempt individuals and corporations to conceal illegal
activity from domestic regulators and enforcement officials through the use
of offshore entities.
90 For example, individuals can exploit corporate
entities to mask the ownership of assets or income through the use of
limited liability corporations (LLCs), limited liability partnerships (LLPs),
and IBCs, as well as trusts, foreign financial accounts, debit or credit cards,
and other related instruments
94
If the proposed activities of a company are to be executed primarily outside the
Cayman Islands, the company may register as an exempted company. Amongst
other characteristics, an exempted Cayman's company does not have to: (1) keep a
register of members open for public inspection; (2) hold an annual general meeting;
or (3) use "Limited" or the abbreviation "Ltd." after its name. Additionally, an
exempted company may: (1) issue shares with nominal or no par value; and (2)
express its capital in any currency. Investing in Cayman
http://moritzlaw.osu.edu/eblj/issues/volume5/number1/schottenstein.pdf

Ofcourse hiyo kampuni ni "excempted"
Wentworth is a privately owned Cayman Islands' registered Exempted Company. It was created in October 2009 specifically to enter into a transaction with Artumas whereby it could provide investment capital and gas monetisation project experts to Artumas. Wentworth is led by Robert "Bob" McBean (Chairman & CEO) and Neil Kelly (Non-executive Director).
http://cws.huginonline.com/W/136496/PR/201005/1419904_5.html

Mimi nisiwafiche wanajamvi haya hayatufai sisi na umasikini wetu,hatujafikia huko bado,i'm just saying...Haya,the fact that it is an excempted company,tena in cayman island!
As far as I'm concern, since the exempt private companies are by far the most lenient as it does not have to comply many rules like what other classification of companies do. The reasons could be probably due to no public money are involve thus the advantages of the exempt private companies includes the following:

1) It does not have to disclose its financial information and accounts to the public and therefore enjoy the confidentiality of the company.

2) The exempt private company can provide loan to the directors of the company which other form of company don't.

Read more: http://wiki.answers.com/Q/Advantages_of_exempt_private_companies#ixzz27R4l24E2
 
Kuna mtu alishauliza ni kwanini makampuni yanajiregister huko cayman island,baadhi ya majibu ni haya...

Does a company look less legitimate when it's registered in Cayman Island? | LinkedIn Answers | LinkedIn

Halafu vinchi masikini kama vyetu vinakubaliana na huu upuuzi,mwalimu aliwahi kusema serikali isiyokusanya kodi ni ya rushwa.Ndo hizo wanazowekewa uswisi,there is no justification kabisa.Yani tunafanyiwa uhuni mtupu!

Nchi za kibepari ambazo zimeshakusanya kodi hadi kufikia hapo zilipo,bado wanaangalia hilo la makampuni kuregister huko cayman.

Makampuni hayo hukimbia nchini mwao na kwenda huko cayman kwa kisingizio cha "regulations",jambo ambalo sisi hata halipo kwenye msamiati wetu,sasa kuna haja gani ya kuwa na kampuni kama hiyo kwenye taifa kama letu?Reason ya political instability haipo kwetu kiasi cha kwamba tuwe na kampuni ya uwekezaji iliyojiregiter cayman islands.Wala hakuna uncertainity ya market kwenye biashara ya oil ambayo ingepeleka wafanye hivyo.

http://moritzlaw.osu.edu/eblj/issues/volume5/number1/schottenstein.pdf

Ofcourse hiyo kampuni ni "excempted"

Wentworth Resources Limited

Mimi nisiwafiche wanajamvi haya hayatufai sisi na umasikini wetu,hatujafikia huko bado,i'm just saying...Haya,the fact that it is an excempted company,tena in cayman island!

Brilliant piece of info.
 
Brilliant piece of info.
Nadhani ni wanajamvi wengi hawajaielewa hii thread.Nafikiri watu wamejikita zaidi kwenye mambo ya siasa bila kujuwa siasa zinatumika kwa ajili ya mustakabali wa nchi,wengi wanajali zaidi kuhusu nani kachaguliwa,nani kasema nini,pamoja na ushabiki tu wa vyama vya siasa kama vile siasa ni mchezo.Laiti wangejuwa ni kupitia siasa hizo hizo ndipo wanaweza kulibadilisha taifa.

Same thing happened kwenye ile thread kuhusu "Kauli ya mama Clinton na matajiri wa dunia"

Watu wakisikia kauli kama za kina Lusinde na nyingine zisizokuwa na maana zaidi ya ushabiki shabiki,wanadhani hizo ndo siasa.

Tuna kazi kubwa watanzania.
 
Hii ndio nchi chini ya CCM.wameweza haribu kabisa fikra za watanzania kwa propaganda zilizo base ktk ujinga.Hii ndio nchi askari wanapiga watu virungu vya kichwa na hakuna mtu anahoji hilo.Naichukia sana na kuihofia CCM kwa jinis ilivyowekeza katika ujinga.DUnian itaenda ila surprises za CCM hazitaisha.

Katika Bold ndipo mahali wanasiasa na wafanyabiashara wetu wanamiss a point.Na ndipo huwa nakuwa critical sana kwa postings za Zitto.Huwa anaweza piece za information zinazo sound great ila zinakosa crucial things need to make a difference.

Policy makers wetu wanamiss sana haya uliyoandika kwa kiasi ambacho kina nullify huo uzalendo wanaojitangazia kuwa wanao.Mafisadi wa Kigeni/wenyeji huwa wana lobby sana kubadili policy za nchi zibadilishwe kwa manufaa yao.Tofauti ka ya wa ndani na wa nje kwa nchi ka US ni kwamba.Wa ndani hujiwekea vigezo vingine vingi ili kujua kama policy ina balance kt ya faida zao binafsi na faida kwa nchi wanaoyiita home.Ndio maana wanafanya vizuri kazi na serikali kukuza ajira, kuhakikisha kodi inalipwa, kuhakikisha usalama wa Nchi na mengine mengi.Hapa kwetu wanasias na wafanya biashara ni taabu tupu,hawan uwezo wa kuangalia parameters Nyingi na kujua ipi ni mbaya zaidi ikibadilika kidogo.

Ni rahisi san akwa raia wa kawaida tuu anayesoma magazeti na kuangalia TV akagundua kuwa CCM haishindi uchaguzi wa Jimbo fulani,wakati CCM wenyewe, waandishiw a habari husika bado hawajui walichokiandika.Hii ni tatizo sana kwa nchi yetu.Wana ushabiki sana watu, wapo tayari kuyumbisha vitu(kujipendekeza) bila hata kuambiwa.Ni rahisi sana askari kufanya maamuzi ya kijinga sana kwa kile anchoamini kuwa kitawafurahisha wakubwa,bila hata kujua madhaa yake kwa kataifa, kwa mhanga na familia kubwa nyuma yake pamoja na yeye mwenyewe na familia yake.Lecturers wa vyuo Hasa Mlimani kwao ni fahari kushika watu na kuwa discontinue,ila hawajui nini wanachofanya.Wanalia kuwa nchi imepoteza mwelekeo, na mengine mengi.Ila hawajui kuwa kufeli pia kunaweza kuwa ni tatizo la wakufunzi na taasisi husika,hawajui kuwa si lazima afeli mtu na chuo kilipaswa kijua kuwa kama wanafunzi na walimu watawajibika basi kuna uwezekano wote wakafaulu, hawa wkaufunzi vimeo hawajui shilling ngapi za walipa kodi zimepotea na zinazidi potea kumlipa yeye mshahara na mafao yake, huyu mkufunzi kimeo asiye mzalendo kam anavyojitangaza hajui kuwa mitaani wau wanahitaji kiasi gani wasomi, hata waliopita na pass tuu wakafanye kazi.

Kwa ujumla hii nchi madudu yapo sehemu nyingi sana, na tiba yake pengine inaweza kuwa mseto km walivyo nayo kwa malaria.Na serikali ikiendelea na udhaifu huu w akukosa mwelekeo, mila na imani mbovu zitashika kasi zaidi ya uwezo wa jamii kurekebisha,na mwishowe tutakuwa na taifa lenye watu wasio rational nakujikuta tunapigana ngumi bila mwisho,kwani kila theory ya mbabe italazimishwa kukubalika.
 
Hii ndio nchi chini ya CCM.wameweza haribu kabisa fikra za watanzania kwa propaganda zilizo base ktk ujinga.Hii ndio nchi askari wanapiga watu virungu vya kichwa na hakuna mtu anahoji hilo.Naichukia sana na kuihofia CCM kwa jinis ilivyowekeza katika ujinga.DUnian itaenda ila surprises za CCM hazitaisha.

Katika Bold ndipo mahali wanasiasa na wafanyabiashara wetu wanamiss a point.Na ndipo huwa nakuwa critical sana kwa postings za Zitto.Huwa anaweza piece za information zinazo sound great ila zinakosa crucial things need to make a difference.

Policy makers wetu wanamiss sana haya uliyoandika kwa kiasi ambacho kina nullify huo uzalendo wanaojitangazia kuwa wanao.Mafisadi wa Kigeni/wenyeji huwa wana lobby sana kubadili policy za nchi zibadilishwe kwa manufaa yao.Tofauti ka ya wa ndani na wa nje kwa nchi ka US ni kwamba.

Wa ndani hujiwekea vigezo vingine vingi ili kujua kama policy ina balance kt ya faida zao binafsi na faida kwa nchi wanaoyiita home.Ndio maana wanafanya vizuri kazi na serikali kukuza ajira, kuhakikisha kodi inalipwa, kuhakikisha usalama wa Nchi na mengine mengi.Hapa kwetu wanasias na wafanya biashara ni taabu tupu,hawan uwezo wa kuangalia parameters Nyingi na kujua ipi ni mbaya zaidi ikibadilika kidogo.

Ni rahisi san akwa raia wa kawaida tuu anayesoma magazeti na kuangalia TV akagundua kuwa CCM haishindi uchaguzi wa Jimbo fulani,wakati CCM wenyewe, waandishiw a habari husika bado hawajui walichokiandika.Hii ni tatizo sana kwa nchi yetu.Wana ushabiki sana watu, wapo tayari kuyumbisha vitu(kujipendekeza) bila hata kuambiwa.Ni rahisi sana askari kufanya maamuzi ya kijinga sana kwa kile anchoamini kuwa kitawafurahisha wakubwa,bila hata kujua madhaa yake kwa kataifa, kwa mhanga na familia kubwa nyuma yake pamoja na yeye mwenyewe na familia yake.Lecturers wa vyuo Hasa Mlimani kwao ni fahari kushika watu na kuwa discontinue,ila hawajui nini wanachofanya.Wanalia kuwa nchi imepoteza mwelekeo, na mengine mengi.Ila hawajui kuwa kufeli pia kunaweza kuwa ni tatizo la wakufunzi na taasisi husika,hawajui kuwa si lazima afeli mtu na chuo kilipaswa kijua kuwa kama wanafunzi na walimu watawajibika basi kuna uwezekano wote wakafaulu, hawa wkaufunzi vimeo hawajui shilling ngapi za walipa kodi zimepotea na zinazidi potea kumlipa yeye mshahara na mafao yake, huyu mkufunzi kimeo asiye mzalendo kam anavyojitangaza hajui kuwa mitaani wau wanahitaji kiasi gani wasomi, hata waliopita na pass tuu wakafanye kazi.

Kwa ujumla hii nchi madudu yapo sehemu nyingi sana, na tiba yake pengine inaweza kuwa mseto km walivyo nayo kwa malaria.Na serikali ikiendelea na udhaifu huu w akukosa mwelekeo, mila na imani mbovu zitashika kasi zaidi ya uwezo wa jamii kurekebisha,na mwishowe tutakuwa na taifa lenye watu wasio rational nakujikuta tunapigana ngumi bila mwisho,kwani kila theory ya mbabe italazimishwa kukubalika.
Mkuu ni kweli,politics zetu zimebakia kwenye uchaguzi peke yake,its like a maniac cycle.Na wala watu huwa hawajiandai kusema walichofanya wakiwa madarakani.

Wanaichukulia siasa kama bongofleva,yani ukitoka umetoka,kwa maana hiyo,wanachojali,ni kuhakikisha wanajikusanyia pesa kwa ajili ya uchaguzi unaofuata.

Ebu fikiria JK kaingia madarakani kwa kipindi cha pili mwaka 2010,hii ni 2012,na tayari utadhani uchaguzi mkuu ni yatari.

Kampeni ni kama zinaanza pale uchaguzi unapokwisha.Na viongozi wakiingia madarakani,wanachukuwa muda wa wao kujijenga binafsi ili waweze kugombea tena,ni mfumo wetu huu ambapo hata wasipofanya chochote,kama wana pesa za kuhonga,basi hawana wasiwasi.

Na pia licha ya kwamba tuna vyama vingi,bado imebaki kama ushabiki tu kwasababu in reality,katiba ni ile ile na watu wana feel kama ni utawala wa chama kimoja.Just look at how the police is behaving,tizama msajili wa vyama,tizama mahakimu,the list goes on.Tizama mafisadi,na wafanya biashara wenye mwelekeo wa chama tawala.

Ni juzi tu watu kama kina Sabodo ndo wanawafunguwa wananchi macho kwamba unaweza kuwachangia wapinzania bila ya kuletewa matatizo na chama tawala.Kuna ushahidi wa wananchi waliofilisiwa ama kupata matatizo kwa kuuchangia upinzani,kuanzia yule askofu wa kule mererani na pia Sunda.

Inawezekana wafanyabiashara wengine wakatumia hilo ili kupata wateja kutokana na ukweli kwamba wanachama na wapenzi wa chadema na upinzani kwa ujumla ni wengi.However,tuna safari ndefu sana.Ila pa kuanzia ni a new constitution.
 
There is no "Black and white" but "grey things" in TZ.Watu hawajui nini ni nini?watu hawamini vitu ,ila wanaamini watu.Hivi ndivyo ukiangalia mijadala ktk TVs Zetu siku hizi akin aNape wakienda na vitu vyao huwa wanaviweka chini wana descuss vya watu wengine waiona vimepitwa na wakati au upepo uendapo hatoweza tetea hoja yake .SI mara moja huwa wanahitimisha kwa hitimisho tofauti sana na misimamo yao ya chama.Hivyo hivyo maswali ktk TV za kibongo hujibiwa kwa majibu ya kuchekesha sana.Mtu anajibu kwa lugha isiyo straight na baadaye kutaka confirmation ya anayemhoji kama alichosema ni shahihi.
 
Anzisha thread yenye kuhitaji watu wafikiri kwa undani,wanaipita tu,anzisha thread ya Zitto katoa kauli hii,hata kama alikuwa chooni anaongea na simu,utaona watu kibao wana maoni yao,nadhani ni product ya vijana ambao wamepitia hizo zinazoitwa shule za kata,yani wanakuwa proccessed kama products kwenye production line.Hawataki kujishuhulisha kusoma na kufikiri critically.Ni wepesi kuropoka mambo yasiyo na msingi na hawaongei mambo ya maana.Taifa limeharibika,na advantage ni kwa ccm.
 
Hata walimu wao ni walewale waliokuwa trained Algeria,China, Russia, East German,Ukraine,Bulgaria etc.Hawakuwa equiped kuwa felxible ili waweze kimbia na dunia na ikibidi washape dunia.Sasa wamekuwa shaped na kila nundo na makoleo yawashikayo.

Kama umewahi pitia "notice au Desa za Mlimani" zilizoandikwa na wahadhiri maarufu sana pale ndipo utajua kwanini hii nchi ni Kimeo.Utakuna kuna definition very awkward .Na walimu na wanafunzi wao huchagua ile ambayo ni most general kama jibu.Hapo ndipo wanapoanza sahau kuwa somewhere ktk mambo yanayojengwa na hii hizi terminology watashindwa endelea kwa usahihi kwani watakuwa hawajiamini katika hili.

Political science na General Studies ndizo vimeo kabisa ingawa hawa nadio wanaingia katk mifumo ya kiutawala ya nchi na pengine hata kutengeneza sera mbalimbali ktk nchi.Nimebahatika sikiliza waadhiri(PHD holders) wake wenye kuheshimika sana na wengine wanatumika katk tafiti.Nilipata hofu,na jinsi nazidi pata hofu ndiyo nazidi shuhudia wanavyopewa nafsi katik mambo ya nchi wakaeneze hizi drama.

Majadiliano mengi ya wabongo huwa watu wanakuja na "junks" halafu wanapima upepo wale wanaoongea kwa kujiamini na kwa nguvu ndio muda si mrefu wanageuza discussion iende kwa matazamo wake wa mambo.

Hakuna mgunduzi anayeweza gunua kitu kikapita katik test za kimataifa kama vitu vy amsingi kabisa vinavyokubalika na wengine duniani hajavishika kwa kujiamini kabisa.Kwani hivyo vitu vidogo ndivyo vinkuwa raw material kwa ubongo ili uweze jenga fikra zinazoweza pelekea mtu kugundua vitu huku akiwa na akiwa na hakika vitapita majaribio yote.Hapa ndipo wabongo hulalama kuwa wazungu wamewabania na kuzikataa kazi zao kwa vile wao si wazungu.Wabongo wanzindua vitabu vyenye maudhui ya msimu kama vyama vya msimu.VItabu ukivisoma havina jipya zaidi ya upotoshaji wa yale yaliyopo,vitabu visivyo na nguvu ya kuleta vikra mpya na kulipeleka taifa njia hiyo kwa mafanikio.
 
Hawa jamaa wa Artumas, sasa nao wanaanza kuniogopesha. Kama walisemekana, kuwa na deals zao Comoro, je itakuwa kua kwenda kwetu kupigana Comoro ilikuwa kwa ajili yao??

Tena kwenye hiyo clarification wanasema wazi kuwa kwenda kwao Comoro ni kufuatia ombi la raisi wa TZ, je raisi wa TZ ana uhusiano gani na taifa la Comoro kibiashara??

Bado hatujaambiwa ni nani aliyelipa gharama zetu hapo Comoro, mbona wabunge wetu mko kimya? Inabidi kuwachunguza zaidi hawa jamaa wa Artumas.

Asili ya ukoo wa JK ni Comoro, ila mama yake ana asili ya wakwere. UPO HAPO!
 
Ukweli ni kwamab Kampuni ya Artumas haipo tena. Kampuni hii ilinunuliwa na kampuni ya Wentworth Resources ambo hivi sasa ndiyo wanahisa washirfiki karika mradi wa Mnazi Bay. Kwa maana hiyo Bw. A. Kinana siyo mkurugenzi tena katika kampuni ya Artumas.
 
Nicholas, hakika wewe ni msomi. Ukipata muda hebu andika kwa upana (expand) haya uliyoyaandika

Back
Top Bottom