jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Wakuu,
Katika nchi za Afrika imekuwa rahisi kwa makampuni ya nje kuingia na kufanya biashara bila matatizo kwa sababu wanatumia local partners.
Hii hoja ipo na inatumika.
Kwa hio nadhani hawa watu plus local Tanzanians ndio wana-exploit.
Je tunaweza kuangalia masharti ya kuwekeza kwa kampuni za kigeni kupitia kituo cha uwekezaji?
Mkuu Richard nakubaliana na wewe!
Ila wazo jingine ni kuwa...Hata Balozi zetu ni kama MAFISADI TU!
Kwanza hata hawa recognize juhudi za wabongo walioko nje ya nchi!
Balozi zetu ziko huku lakini ni za kumtumikia Mzungu na siyo sisi!
Na ndio maana hata website zao ni kuhusu tu wazungu wanaotaka kuwekeza!
Kama balozi wetu hata wa hapa USA angekusanya watu wote na wawekeze badala ya kutudharau sisi na kukumbatia wazungu na kuuza nchi yetu mbele za macho yetu sisi tuliokuja kutafuta elimu na life kwa ujumla!
Ni lazima mshikamano uwepo na tabia ya kudaharau wazawa IFE!
Wao wanatetemekea mzungu na wako huku kama mawakala wa mafisadi kuviziavizia wazungu wa kununua nchi!
MABADILIKO MAKUBWA SANA NI MUHIMU!