Abdallah Shaibu 'Ninja' pongezi kwako upambanaji wako ndio tunaohitaji Young Africans

Habari.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Pale Mume anapomsifia mkewe alijitahidi kubana mapaja kumzuia mbakaji asimalizie bao lingine la pili..
 
Habari.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Kajitahidi sana beki wenu sema hakuna namna,ilikuwa ni lazima leo timu ya akina chama ikae kileleni
 
Habari.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!

Mkuu huko ni kupenda kulikopitiliza kwani haiwezekani timu ikafungwa halafu ikatoa MOTM labda vigezo viwe ni kwa kiwango cha kiutopolo topolo, Huyo Ninja ashukuru referee la sivyo kuna wakati alifanya fuckup kubwa kwa Dube ndani ya 18 na ile ilikuwa ni tuta bila ubishi ila refa akaogopa msije kwenda shtaki kwa Mama maana nyie mnapenda mbeleko sana, sasa kwa taarifa tu jiandaeni kisaikolojia tarehe 08 May marefa watakaochezesha ni zadi ya 6 na VAR zitafanyiwa test siku hiyo kabla ya kuanza kutumiwa kwenye michezo ya Simba,

Angalizo kwa mabeki wenu ni kwamba wakirogwa kucheza vile kama jana basi penati zitakuwepo na ndipo mtakapomfungaisha mizigo kocha wenu anayeongea kifaransa wakati shikalo anaongea kijaluo sijui hapo wataelewana kweli?
 
Habari,

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Haki yake ni kwamba Ninja ndie alietoa assist kwa Dube
 
Ninja ameonyesha uwezo wa hali ya juu, ndie mchezaji aliyekua bora kuliko wote uwanjani kwa timu zote mbili. Ata mfungaji wa goli la Azam alifunga lakini hakua na mchezo mzuri ila goli lake kilikua zuri. Pongez kwa Ninja anafuata nyayo za Nadir Harub Cannavaro.
 
Ninja Alistahiri kutoa assist kwa Dube kama malipo ya kutaka kumvunja uti wa mgongo na goti makusudi kabisa.
Mara ya kwanza walimvunja mkono. Leo kawakomesha.
 
Habari,

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.

Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.

Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Well said
 
Back
Top Bottom